Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
- #81
Who cares! Jide ndio nani?
The King.
Mweyekiti wa UKAWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who cares! Jide ndio nani?
The King.
Who cares! Jide ndio nani?
The King.
Kwa hiyo bibie jide yupo single sasa?...
si kweli...yeye ni Msizaki
[h=3]Lady Jay Dee[/h]
Mmmh....karma
Jide aliiba mume wa mtu sasa aone madhara yake,nae apate maumivu kama yule mke wa awali wa gardner
Umeacha kuandika habari za bwana wako DOMONDI sasa unaingilia ndoa za watu sio!
Kama ni kweli basi nimeamini Muosha huoshwa,huyu Jide si alikuwa mchepuko wa Gardener,hadi jamaa akamuacha mke wake kwa ajili ya Jide,Jide alifikiri anayo ya dhahabu kuwa jamaa ataacha michepuko?kama alivyomsumbua yule mama na yeye yanamkuta yale yale.
Na ukiiba inabidi ukomae kweli...wanasema kavumilia kumbe alikuwa anaona aibu wakiachana watu watamcheka... 'karma'
unatakiwa umjibu hivi......unanitaka??????
Yule mama kama alikua anaomba sasa atakua anamshukuru Mungu amejibu maombi. Cha kuazima hakistili makalio.
Waswahili husema malipo ni hapa hapa,inaweza kua kweli.
Haki sawa kwa wote
Ni Zamu Yetu kulelewa na vipochi manyoya!!
Swala la kuachana ni Kama msiba tu hauwezi kosa sababu dawg!!!!!!
Unabahati nilizania ni yule jamaa! anayejiita Heaven on Desert!unanitaka??????
Anabahati nilizania ni yule jamaa anayejiita Heaven on Desert! Lakini nimeshamtaka radhi!
alichopost Jide Ig
Ha ha ha mkuu bhana...Kwahiyo wataka kwenda kuchumbia eenh nenda kajatibu bahati ya umario na ww