Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

~Inawezekana maana Jide amepost picha yupo na ndugu yake wakazi wanakula bata counter
~Inawezekana maana Jide amepost picha sasa anajiita Bonge ila tangu aachane na G.Habash amenenepa kweli.
~Huu mwaka mbaya kwa mario kuanzia edzen,mziwanda na baba la mario habash.

Mbona hata wewe ni Mariooo mzoefu....
 
G.Habash si ni mtangzaji...ana kazi yake na mshahara wake!! Kwanini mnamuita Mario???
 
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.

chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.

kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.

Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.

Aliyekuwa mkewe alishaolewa kitambo sana hapa rock city, tena alibadili dini sababu ya mume mpya
 
G.Habash si ni mtangzaji...ana kazi yake na mshahara wake!! Kwanini mnamuita Mario???

anaishi katika nyumba ya nani na anatembela gari la nani zuri?.....jibu lake ni hilo neno ambalo wewe hutaki watu wamuite
 
Aliyekuwa mkewe alishaolewa kitambo sana hapa rock city, tena alibadili dini sababu ya mume mpya
Huko aliko lazima anachekelea tu,kile kipindi mama wa watu alisota du na ana moyo,Magazeti ya udaku ndo ilikuwa habari ya mjini,Love triangle Jide akashinda akapata ndoa,ila Jamaa kumbe hajaacha michepuku.Ama kweli tabia ya mtu ni kama ngozi
 
Wamegawana Mali?,siwalikuwa wana ndoa halali!.
Vijana ndio wapate fundisho sasa kama alikuwa Mume wa mtu kweli atapata chochote hapo yaani hiyo ndoa ilikuwa halali? Pamoja na kuwa JD ndo alikuwa ana kipaji, G alikuwa kama meneja wake jamani ana chake hapo. Sasa sijui sheria inasemaje. Anyway jamani nadhani ni mapema mno kucoclude kuwa wameachana ila G achukue fundisho hapo otherwise hana chake!
 
na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"

najaribu kuzidi Ku connect dots.
Mh, na wewe mdada ni mzuri kwenye ufukunyuku (Joking)?! Nilikuwa sijui, dah!
 
hahhahahhahaaaaaaaa role model wa marioos wooote ndio kapigwa chini hivyo.......sijui mwaka huu ukoje walah? nadhani ndio mwanzo wa mwisho wa hawa viumbe kupe.....hahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaaa.

Mbona mmemuacha 1st Runner up in no particular order Emma Mbasha?
 
Mziwanda si anapenda kulelewa ndio maana anazidi kungangania kukosea akosee shilole msamaha anaomba yeye...ashakubali kuwa kuna vidume vinamsaidia kupiga ze duduz.ile siku ya ugomvi na geti akafungiwa hamna kuingia ndani...

Shilole mwenyewe keshajisemea kupenda mwanaume asie na pesa ni kipaji,

kuna picha moja ya wawili hawa na shilole alivyojichubua ukiwaona utadhan Nuhu yuko na Bibi yake mzaa baba.
whattt!! astaghafilulahiiii
 
Mmmh bora gardiner ajianzie maisha maana huyo kikongwe jide alikua anambemenda,mtoto wa watu sasa atafute vibinti vya saiz yake,yeye na jide hawaendani kabisaaa
 
Back
Top Bottom