Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hawana haja ya kuwa pamoko Wa nini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"
najaribu kuzidi Ku connect dots.
~Inawezekana maana Jide amepost picha yupo na ndugu yake wakazi wanakula bata counter
~Inawezekana maana Jide amepost picha sasa anajiita Bonge ila tangu aachane na G.Habash amenenepa kweli.
~Huu mwaka mbaya kwa mario kuanzia edzen,mziwanda na baba la mario habash.
Ahahahaha wanaume away usiku hizi bhanaaa unalambalamba midomo kumbe ni kipochi manyoya kinakuweka mjini ukifukuzwa unaanza ooh Mara hazai Mara sijui kwanza mbaya uuuwi hangaikeni
Ila jamaa kalelewa muda mrefu lakini Mario huyu kajitahidi kufanya kazi.
Ahahahaha wanaume wa siku hizi bhanaaa... unalambalamba midomo kumbe ni kipochi manyoya kinakuweka mjini!!!! ukifukuzwa unaanza ooh Mara hazai Mara sijui kwanza mbaya uuuwi hangaikeni!:what::what::what:
Umeacha kuandika habari za bwana wako DOMONDI sasa unaingilia ndoa za watu sio!Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
Lakini Jide katulia sana hata kama ni mtata lazima asipende mambo ya kipuuzii
Gadna amehamia kwa ndugu yake.....?????..kama alikua na mgogoro wa siku nyingi alikua hajasoma alama za nyakati na kujiandaa....umri wake hauruhusu kuhamia kwa ndugu......kama ni kweli lakn
Yani ukitoa Mungu na mzazi wake next ni Gadner Jide anampenda sana G na Gadner naye kavumilia mengi jamani Jide mtata sana yule pure Kurya.
Umeacha kuandika habari za bwana wako DOMONDI sasa unaingilia ndoa za watu sio!