Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"

najaribu kuzidi Ku connect dots.

Siku hizi mupenzi na wewe umo kwenye ufukunyuku na uchokonozi!!
Lakini hivi visa vyote kwa sababu mdada hazai ofcoz
 
Hata hivyo ana Moyo jamaa,,,miaka yote Mayonaise yake alikua Anayamaliza bure tu ndoa haijipi!

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
~Inawezekana maana Jide amepost picha yupo na ndugu yake wakazi wanakula bata counter
~Inawezekana maana Jide amepost picha sasa anajiita Bonge ila tangu aachane na G.Habash amenenepa kweli.
~Huu mwaka mbaya kwa mario kuanzia edzen,mziwanda na baba la mario habash.
 
hahhahahhahaaaaaaaa role model wa marioos wooote ndio kapigwa chini hivyo.......sijui mwaka huu ukoje walah? nadhani ndio mwanzo wa mwisho wa hawa viumbe kupe.....hahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
  • Thanks
Reactions: amu
hahhahahhahaaaaaaaa role model wa marioos wooote ndio kapigwa chini hivyo.......sijui mwaka huu ukoje walah? nadhani ndio mwanzo wa mwisho wa hawa viumbe kupe.....hahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaaa.

haaaaaaa eti role model wa Marioos wote....nacheka ka mazuri vileee
 
ah...ndio maana niliona post moja IG akiwa na nduguze....
 
Uu mwaka mbaya kwa mamarioo wote utahamiaje kwa mwanamke si ndo unakuwa kama umeolewa sasa
 
Du Gadner! Kwahiyo haendeshi tena Vogue? Mademu wa mchepuko nao wataingia mitini, this is Bongoland.
 
kama hii habari ni ya kweli basi wacha nikae kimya kwanza,nitakuja na thread moja nzito.
 
~Inawezekana maana Jide amepost picha yupo na ndugu yake wakazi wanakula bata counter
~Inawezekana maana Jide amepost picha sasa anajiita Bonge ila tangu aachane na G.Habash amenenepa kweli.
~Huu mwaka mbaya kwa mario kuanzia edzen,mziwanda na baba la mario habash.

Mziwanda hajaachwa, jana usiku Shilole kapost video IG wako ktandan wanawatakia usiku mwema..
 
So Sad...Jide kajitoa sana kwa ajili ya lile penzi...But KARMA never let her be...
May be ts their fate, they were never meant to be....ila imenisikitishaaaa
 
Back
Top Bottom