Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"

najaribu kuzidi Ku connect dots.

ulivyoandika hivi nimekumbuka wimbo wake wa MACHOZI
 
~Inawezekana maana Jide amepost picha yupo na ndugu yake wakazi wanakula bata counter
~Inawezekana maana Jide amepost picha sasa anajiita Bonge ila tangu aachane na G.Habash amenenepa kweli.
~Huu mwaka mbaya kwa mario kuanzia edzen,mziwanda na baba la mario habash.

Umemsahau mbasha
 
Naomba hii habari isiwe ya kweli, nampenda sana nisigependa apate maumivu yoyote.
Na kama ni kweli basi POLE SANA JIDE, ILA MUNGU NI MUWEZA ATAKUPA FARAJA. Na naamini wewe ni mpambanaji hautaangushwa na hili Japo litakuuma, KUMPENDA ASIYEJITAMBUA NI SHIDA TU, BORA KUBEBA KAA LA MOTO KWENYE UPARA..
 
Ahahahaha wanaume wa siku hizi bhanaaa... unalambalamba midomo kumbe ni kipochi manyoya kinakuweka mjini!!!! ukifukuzwa unaanza ooh Mara hazai Mara sijui kwanza mbaya uuuwi hangaikeni!:what::what::what:
 
Nampenda sana Jide, anajitambua,mtulivu ,mvumilivu na kikubwa zaidi ni mchapakazi.
Kama ni kweli POLE SANA JIDE.
 
Ahahahaha wanaume away usiku hizi bhanaaa unalambalamba midomo kumbe ni kipochi manyoya kinakuweka mjini ukifukuzwa unaanza ooh Mara hazai Mara sijui kwanza mbaya uuuwi hangaikeni

Sorry for the question,kipochi manyoya ndio nini? Umeniacha kwenye mataa Flora Msofe
 
Last edited by a moderator:
Inakera kusikia mwanaume kafukuzwa na mwanamke nyumbani , wanaume tubadilike.
 
Ahahahaha wanaume wa siku hizi bhanaaa... unalambalamba midomo kumbe ni kipochi manyoya kinakuweka mjini!!!! ukifukuzwa unaanza ooh Mara hazai Mara sijui kwanza mbaya uuuwi hangaikeni!:what::what::what:

Haki sawa kwa wote
Ni Zamu Yetu kulelewa na vipochi manyoya!!
Swala la kuachana ni Kama msiba tu hauwezi kosa sababu dawg!!!!!!
 
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.

chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.

kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.

Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
Umeacha kuandika habari za bwana wako DOMONDI sasa unaingilia ndoa za watu sio!
 
Jide aliiba mume wa mtu sasa aone madhara yake,nae apate maumivu kama yule mke wa awali wa gardner
 
Gadna amehamia kwa ndugu yake.....?????..kama alikua na mgogoro wa siku nyingi alikua hajasoma alama za nyakati na kujiandaa....umri wake hauruhusu kuhamia kwa ndugu......kama ni kweli lakn

Mkuu umarioo unawatesa sana masharobaro,hapo usikute ameondoka na boxa zake tu vingine vyote havimuhusu.
 
Yeye (gander) aliondoka na usafr gani? Mwenzie alipanda Bajaji....
 
Back
Top Bottom