Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Jide asijipe stress, atafute kabongofleva chake....na madongo wapenda mteremko wapo wengi tu standby...
Ila kabla hajakaribishwa ndani apewe masharti ya mkataba akae akijua kabisa...akiona simu ya Advocate inaita, anakuletea simu....mummy daddy anapiga....sio aanze kushuta hovyo kama kale kajamaa cha Shilole, almanusra kupigwa jiwe.
Kwanza unasema imesekana imevunjika, uhakika watukio lakuvunjika kwahio ndoa hauna, hata copy ya taraka, hauna. What is this? Kesho mukiwaona wapo pamoja mutasemaje? Acheni ku kurupuka na mada zisio kua na kichwa wala miguu. Inaweze kana wamegombana tu, nakuepusha shari, mtu unaamua kukaa sehemu kupunguza hasira. Wabongo munajenga hoja, eti wameachana????
Munaingilia ndoa za watu mpaka povu linawatoka? Mind your business jamani. Wakati mwingine munawapa watu umarufu bila sababu. Sasa ikivunjia au laa, inakusaidia nini mpaka uilete kwenye jf? Vitu vingine before u bring it up hapa jamvini, jiulize, kwa faida ya nani? Jay Dee na Gardner wao kama nani mpaka muafwatilie ndoa yao, amakweli wabongo umbea utawazeesha vibaya.
yule mkrya ni mbabe sana......yaani gadna atakuwa kavumilia mengi jamen.
kuna time wakati Gardner yuko clouds kwenye kipindi cha jahazi waliweka wimbo mmoja wa jide. nimesahau wimbo gani
kina kibonde wakawa wamasema "Gardner hebu acha kumuuzi shemeji yetu hadi uaacha kila siku nyimbo zake za majonzi kutendwa.
[/COLOR]
qn of sheba kama we ni m/ke basi unafaa kuolewa na ustaadh/shehe
Waacheni jamani ndoa nyingi zikishafikisha miaka kumi na tano zinakuwa zimekufa,wengi wanaishi mazoea tu na wengine ni watoto wanavumilia siku zinaenda sasa hawa hata watoto hawana mie nawapongeza hawana unafiki wa walio wengi
Munaingilia ndoa za watu mpaka povu linawatoka? Mind your business jamani. Wakati mwingine munawapa watu umarufu bila sababu. Sasa ikivunjia au laa, inakusaidia nini mpaka uilete kwenye jf? Vitu vingine before u bring it up hapa jamvini, jiulize, kwa faida ya nani? Jay Dee na Gardner wao kama nani mpaka muafwatilie ndoa yao, amakweli wabongo umbea utawazeesha vibaya.
Kama ni kweli basi nimeamini Muosha huoshwa,huyu Jide si alikuwa mchepuko wa Gardener,hadi jamaa akamuacha mke wake kwa ajili ya Jide,Jide alifikiri anayo ya dhahabu kuwa jamaa ataacha michepuko?kama alivyomsumbua yule mama na yeye yanamkuta yale yale.
Munaingilia ndoa za watu mpaka povu linawatoka? Mind your business jamani. Wakati mwingine munawapa watu umarufu bila sababu. Sasa ikivunjia au laa, inakusaidia nini mpaka uilete kwenye jf? Vitu vingine before u bring it up hapa jamvini, jiulize, kwa faida ya nani? Jay Dee na Gardner wao kama nani mpaka muafwatilie ndoa yao, amakweli wabongo umbea utawazeesha vibaya.
Kio kwa kitugani kikubwa haswa? Somewhat Lady JD may kwavile anaimba, tusijenge mlima kwenye kichuguu jamani! Tatizo munawakuza mno kuliko uwezo wao, munawapa cheap popularity bure
kabisa
Waacheni jamani ndoa nyingi zikishafikisha miaka kumi na tano zinakuwa zimekufa,wengi wanaishi mazoea tu na wengine ni watoto wanavumilia siku zinaenda sasa hawa hata watoto hawana mie nawapongeza hawana unafiki wa walio wengi
Nakumbuka kuna wimbo wake mmoja, kuna mstari anasema...sikumbuki vema maneno...ila kama aliimba..."mnatimiza miaka hamsini ya ndoa, mnacheka hadharani lakini mkirudi ndani kila mmoja analala chumba chake....."