Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Waacheni jamani ndoa nyingi zikishafikisha miaka kumi na tano zinakuwa zimekufa,wengi wanaishi mazoea tu na wengine ni watoto wanavumilia siku zinaenda sasa hawa hata watoto hawana mie nawapongeza hawana unafiki wa walio wengi
 

hahaa haa kuna watu sijui mnawaza nini King'asti snowhite nyumba kubwa
 
Last edited by a moderator:
naliona anguko la jde kimziki
mi nampenda sana jde ila bila gadna i dont think she can stand with her own miguu
halafu suala la mali wabongo cha mume cha wote cha mke cha kwake ndo tuko hvyoo
utakuta mwanaume anajenga nyumba yenu na mke anajenga ya kwake
so ubinafs s kwa jide tu wengi tuko hvyo na km alijua mmalaya ndo kabisa
 
Munaingilia ndoa za watu mpaka povu linawatoka? Mind your business jamani. Wakati mwingine munawapa watu umarufu bila sababu. Sasa ikivunjia au laa, inakusaidia nini mpaka uilete kwenye jf? Vitu vingine before u bring it up hapa jamvini, jiulize, kwa faida ya nani? Jay Dee na Gardner wao kama nani mpaka muafwatilie ndoa yao, amakweli wabongo umbea utawazeesha vibaya.
 
Kwanza unasema imesekana imevunjika, uhakika watukio lakuvunjika kwahio ndoa hauna, hata copy ya taraka, hauna. What is this? Kesho mukiwaona wapo pamoja mutasemaje? Acheni ku kurupuka na mada zisio kua na kichwa wala miguu. Inaweze kana wamegombana tu, nakuepusha shari, mtu unaamua kukaa sehemu kupunguza hasira. Wabongo munajenga hoja, eti wameachana????
 

Uhamiaji hukuuuuuuuuuuu.......!
 

Kwanza jifunze kutofautisha MU na single M.
Pili hatuwapi umaarufu kwa kuwajadili, hapa lazima wajafiliwe kwakua tayari ni watu maarufu pia nikoo cha jamii.
 
kuna time wakati Gardner yuko clouds kwenye kipindi cha jahazi waliweka wimbo mmoja wa jide. nimesahau wimbo gani

kina kibonde wakawa wamasema "Gardner hebu acha kumuuzi shemeji yetu hadi uaacha kila siku nyimbo zake za majonzi kutendwa.

Hahaaa iyo story nshawah isikiliza
 
Waacheni jamani ndoa nyingi zikishafikisha miaka kumi na tano zinakuwa zimekufa,wengi wanaishi mazoea tu na wengine ni watoto wanavumilia siku zinaenda sasa hawa hata watoto hawana mie nawapongeza hawana unafiki wa walio wengi

Kwani Imma na Flora hawana mtoto mbona imewashinda
 

Ni msanii na kioo cha jamii kama hawana umuhimu wa kujadiliwa au kama mnataka wajadiliwe mazuri tu basi hili jukwaa lisingekuwepo au lingefutwa.
 
Kio kwa kitugani kikubwa haswa? Somewhat Lady JD may kwavile anaimba, tusijenge mlima kwenye kichuguu jamani! Tatizo munawakuza mno kuliko uwezo wao, munawapa cheap popularity bure kabisa
 

Dunia shule..kama ni mkweli hili tukio ntakuwa nimethibitisha theory 2 za maisha;

1. wat goes around comes back around.. 2. tabia haiachi asili..ukila nyama ya mtu utaendelea tu..
 

Wabongo tena, mimi nilidhani ni tatizo la kimataifa....nakumbuka Princess Diana alikurupushwa na mapaparazi mpaka gari ikaingia mtoni...hebu nao (wale paparazi) wape vidonge vyao wameze.
 
Kio kwa kitugani kikubwa haswa? Somewhat Lady JD may kwavile anaimba, tusijenge mlima kwenye kichuguu jamani! Tatizo munawakuza mno kuliko uwezo wao, munawapa cheap popularity bure
kabisa

Aliyeleta mada jukwaani alitarajia maoni kama yako pia, so nadhani lengo limetimia...

Na ukitaka kujua watu hawana muda wa kupoteza, fanya utafiti...hebu njoo na sredi yako yenye kichwa cha habari....MAMA NDALA KAACHANA NA MUMEWE.....nadhani kama unabahati sana utapata wa kukuuliza....Mama Ndele ni nani ? then utajibu..Ni trafiki huku Namtumbo...baada ya hapo utafiti wako utakamilika kwa kuwa hakuna atakayeendelea KUcomment.
 
Kuna mawili, munafwatilia maisha ya ndoa zawatu wakati yako yenyewe yakushinda, au hujaoa kabisa. Munaweza sababisha wakaachana kweli, au mukasababisha usama na wasiwasi mpaka kuperekea kifo kama Diana vile mfanomzuri sana. Kwanza jamani hapa, tuna chekesha tu walimwengu. Nivema mungekua muna toa solution au ushauli nasaha kwa mambo kama haya. Tayari pana ushabiki aidha kwa pande zote mbili. Suruhu ni nini kama kwa kweli mnawapenda hao? Hamna hata mmoja alie toa way forward namna ya kuwa help hawa wawili waendelee kua kitu kimoja, japo nifununu tuu zisizo kua na uhakika kwa ndoa yao ipo hatarini.
 
Waacheni jamani ndoa nyingi zikishafikisha miaka kumi na tano zinakuwa zimekufa,wengi wanaishi mazoea tu na wengine ni watoto wanavumilia siku zinaenda sasa hawa hata watoto hawana mie nawapongeza hawana unafiki wa walio wengi

Nakumbuka kuna wimbo wake mmoja, kuna mstari anasema...sikumbuki vema maneno...ila kama aliimba..."mnatimiza miaka hamsini ya ndoa, mnacheka hadharani lakini mkirudi ndani kila mmoja analala chumba chake....."
 
Nakumbuka kuna wimbo wake mmoja, kuna mstari anasema...sikumbuki vema maneno...ila kama aliimba..."mnatimiza miaka hamsini ya ndoa, mnacheka hadharani lakini mkirudi ndani kila mmoja analala chumba chake....."

Unaitwa Msiache kuongea ni wa Mwana FA yeye alishirikishwa enzi hizo mabest. .. ila kutokana na ugomvi sasa hata G na FA sio marafiki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…