Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Inavosemekana kutoka chni ya kapeti ni kuwa kibonde na gadner wana uhusiano wa kimapenzi(homo) toka kitambo, ila sijui kati yao nani anakuwa bottomed(anabinuliwa).?

Atakuwa yule Mzee wa mchepuko
 
geniveros Dinazarde Heaven on Earth TATIANA yani leo nimemkumbuka sana binamu warumi huko insta Team Wema wamemcharukia Dangote na kumsema ana mtumia wema vibaya kwa maslai yake binafsi... wema kawamind ila bado raia wanamsena afungue hata saloon kuliko kufanywa mcheza shoo wa Dangote.

Atleast leo Team wema wamemtolea uvivu madam wao... I wish binamu angeenda kutupa full story.
hawana lolote kwani wema mtoto
ye alijiona kalamba dume la shupaza
kumbe kala garasa namba 3 ya mavi
watu yetu macho
wapi meninah atik!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ila kweli anatumiwa sana wema kunufaisha watu wanaomzunguka.halafu hili swala la kutokuoa ili usishuke kwenye mziki mi sikubaliani nalo.kama unafanya mziki kama kazi kama kazi nyingine utashukaje ukioa?inamaana successful people wote wenye kazi zao hawajaoa kuogopa watashuka?mbona Jz kaoa na hajashuka.Anajua akimwoa hataweza mtumia ipasavyo kumwingizia kipato zaidi ya kutumia zaidi.

Kwake yeye kweli atashuka maana huyu sio msanii wa kuimba ni msanii wa skendo just imagine bila hizi drama za Wema,Jokate,Peny kuginganisha wasichana angekuwa anaimba tu angefika hapo alipo... huyu na wema hawana tofauti bila kuandikwa nadhani wanaweza umwa zaidi ya ebola
 
Wema naye kazidi nakumbuka watu walikuwa wabashauri team yake lazima wakuite hater na sasa Wema mwenyewe kachuja si kama yule wa siku zote kwanini asijiheshimu kama mamiss wengine yani siku hizi kwenye vigodoro ndo maisha namhurumia sana dangote mwenyewe hana mpango naye zaidi ya kumtumia tu asije kukumbuka shuka kumekucha ajipange
 
hawana lolote kwani wema mtoto
ye alijiona kalamba dume la shupaza
kumbe kala garasa namba 3 ya mavi
watu yetu macho
wapi meninah atik!!!!!!

Hahaaa Umeona Diamond alivyoandika IG sasa baada michambo.
Eti kama inakuchefua lamba ndimu.. hahaha chezea mtoto wa kwa Ali Maua wewe
 
Wema naye kazidi nakumbuka watu walikuwa wabashauri team yake lazima wakuite hater na sasa Wema mwenyewe kachuja si kama yule wa siku zote kwanini asijiheshimu kama mamiss wengine yani siku hizi kwenye vigodoro ndo maisha namhurumia sana dangote mwenyewe hana mpango naye zaidi ya kumtumia tu asije kukumbuka shuka kumekucha ajipange

Hahaa hao hao team yake wamemtolea uvivu leo
 
Wema anatumia wemasepetu na diamond anatumia diamondplatnumz
Kumbe siku zote nilikuwa sahihi kutofollow hawa wabana pua kwenye mitandao, Wema angekuwa ni dada yangu option zingekuwa mbili tu atengwe na Familia au wavunje mahusiano na Diamond.

Hivi inaingia akilini unalala na Mwanamke kisha ushauri wa kumpa unaenda kuandika Instagram?

Kwakweli leo umenifumbuwa macho nilikuwa sijui mengi kuhusu hawa watoto, mana mimi siko active instagram ndio nimeingia huko leo sina hamu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe siku zote nilikuwa sahihi kutofollow hawa wabana pua kwenye mitandao, Wema angekuwa ni dada yangu option zingekuwa mbili tu atengwe na Familia au wavunje mahusiano na Diamond.

Hivi inaingia akilini unalala na Mwanamke kisha ushauqi wa kumpa unaenda kuandika Instagram?

Kwakweli leo umenifumbuwa macho nilikuwa sijui mengi kuhusu hawa watoto, mana mimi siko active instagram ndio nimeingia huko leo sina hamu.

si bure, wewe sio riziki
 
Hii issue inahitaji iwe na uzi wake tu maana huko IG leo kunanogaje
 
Hahaaa Umeona Diamond alivyoandika IG sasa baada michambo.
Eti kama inakuchefua lamba ndimu.. hahaha chezea mtoto wa kwa Ali Maua wewe

Hivi wema anamwandikia mashairi domo,cjui hao team yke ni watoto nini,domo amefika hpo bila wema wakti wameachana ndio domo alikua anatoa nyimbo kali,so hiyo team uchwara hawana jipya.

Madam wao ni muuza sura tu kwenye media instead y kubuni biashara yeye anauza sura n huyo aunt,kutwa kuchwa wko n wema mara cjui sauz mara mwz.,au domo anapiga wote mana tabia zao zinaendana
 
Hii issue inahitaji iwe na uzi wake tu maana huko IG leo kunanogaje
Check kuna thread ya majibu ya Diamond ambayo ameandika Insta kwakweli huyu Wema bora atafute hata dereva wa bodaboda amuoe waishi kwa amani, ila licha ya upuuzi wa Diamond nimegunduwa Wema naye kichwa kina matatizo, inawezekana aliyoyaandika domo huwa anamueleza lakini utekelezaji sifuri.
 
Hahaaa Umeona Diamond alivyoandika IG sasa baada michambo.
Eti kama inakuchefua lamba ndimu.. hahaha chezea mtoto wa kwa Ali Maua wewe

hahaaaaaa kafyonya na kutoa dongo juu... chezea muuza mitumba wa Tandale .......... una ndimu hapo unipatie
 
Wema naye kazidi nakumbuka watu walikuwa wabashauri team yake lazima wakuite hater na sasa Wema mwenyewe kachuja si kama yule wa siku zote kwanini asijiheshimu kama mamiss wengine yani siku hizi kwenye vigodoro ndo maisha namhurumia sana dangote mwenyewe hana mpango naye zaidi ya kumtumia tu asije kukumbuka shuka kumekucha ajipange

kazidi kama kidogo... kucheza vigodoro majukwaani inahuu.

unaweza kudhani mwanaume anakupenda kumbe ndio anakuchora tu na kwa ile post ya Diamond inaonesha tabia za wema kaamua kuziweka hadharani....

shoga una ndimu hapo.
 
hahaaaaaa kafyonya na kutoa dongo juu... chezea muuza mitumba wa Tandale .......... una ndimu hapo unipatie
Mpwa ntakuheshimu ukinitambulisha mtu yeyote yule wa kawaida kwamba ndio umempenda kuliko aibu hii ya kujitakia ya Wema.

Yani story za kuongea kitandani na mpenzi wako unakuja kuandika Instagram? nimewadharau wote wawili ni takataka tu.
 
kazidi kama kidogo... kucheza vigodoro majukwaani inahuu.

unaweza kudhani mwanaume anakupenda kumbe ndio anakuchora tu na kwa ile post ya Diamond inaonesha tabia za wema kaamua kuziweka hadharani....

shoga una ndimu hapo.
Ni Shiedaa!! Nilidhani wanaweza angalau kujifunza kitu kwa Marioo na Jide kupigana chini kimyakimya kuliko hii gia ya huyu mswahili wa Tandale.
 
Back
Top Bottom