Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Bado tetesi tu..

Umeoonaaaa ehee yaaani Luna mijinyau mirohoo inasuburiii tuuu ndoa ya hao jamaa ifikie ukingonii nao waanze kusemaa OHHHOOO MIMI NILIJUAA TUUU HAO WALIKUWA WANA ACT TUU😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
teheeteteheeeee... huyu mbibi leo kakanusha hizi tetesi kwa kutumia picha.....a picture speaks a thousand words...!!!
 
Jay Dee mwenyewe ni pasua kichwa....bangi zinamzuzua kinoma.

UNAONAEEE? kuna siku nilisema pale dada yetu kapotea njia nasikia ni ndoa jina na hata leo hii wakirudiana ni ile kusema watu watatuelewaje?....NA BI DADA ile hali ya kuwa na mtu kama heshima tu na wa kumlindalina LAKINI GADNER ni heri mtu uishi single ijulikane na hakuna kitu kibaya kwenye mapenzi mtu akuonyeshee LIVE MICHEPUKO na hasa KWA JIDE anavyomsitiri jamaa inatia huruma...lakini msije shangaa sijui ndo mapenzi ninyonge watakuwa watarudiana na kuja kujibu hapa.
TEAM jide mpo wapi?
 
Who cares,afterwards she is old

HAPA MAJUZI kuna mama mmoja MOROGORO anadai kumjua vizuri jide ETI anakimbilia 46 years jamani nampa hongera ana mwili mzuri kama form 2!
 
Kapost hii huko intagram

hakuna kitu hapo hata Bahati BUKUKU siku zile MAMBO yameparanganyika NA mumewe DANIEL BASILI alitembea na pete kama ushahidi.
IKUMBUKWE hapa HAKUNA anayependa ndoa ya JIDE ivunjike kwanza kwa faida ya nani? shida ni huyo bwana kumdhalilisha anamshinda mpaka mkulu wetu?
 
halafu jamani samahani ivi ile NYUMBA ya wema KIJITONYAMA ni yake kabisa au alipangishiwa NA baba CLEMENT au ni ya kupanga mkataba bado...mana sasa kama yameanza kuwa ivi atakuwa mgeni wa nani?
haitakuwa mbaya sana kama walau ana nyumba.
MANA sasa itakuwa balaa au dada zake wa majuu watamuokoa?na siku hizi na majuu nako ni majanga?
 
HAPA MAJUZI kuna mama mmoja MOROGORO anadai kumjua vizuri jide ETI anakimbilia 46 years jamani nampa hongera ana mwili mzuri kama form 2!

Dah na inaonyesha tu ila ana mwili mzuri aisee
 
Jamani hii mada ya akina Mario inaendelea..... Wadau mpo vizuri......
 
ImageUploadedByJamiiForums1408225274.788806.jpg habari ndo hiyo
 
Gardner kakataa kuzungumzia ishu hii kwenye mkasi wa Salama
 
hahahah na mimi nimemuona hakuna Ndoa pale Confirmed , hata Salama alivyosema Mkeo kasema mwite JD Kiruuu!
 
Hakuna kikubwa sana Gadner anachopata kwa Jide zaidi ya mapenzi tu....hivi Gadner bila Jide hawezi kumiliki gari? bila jide hawezi kujenga? bila jide hawezi kuwa na maisha mazuri?...kuna mtangazaji expensive kwa sasa bongo kumshinda Gadner? amekataa offer ngapi nzito kwa ajili ya kusimamia miradi yao? kuna kampuni gani ya promosheni itakataa kuwa na mtu kama gadner bongo hii? Ebu muulizeni kusaga uwezo wa uyu jamaa na mpaka kesho anamtaka........Acheni uswahili bwana G sio mnavyojaribu kumuweka au mlitaka awe analeta taharifa hiki nna mchango flani,kile nna mchango flani....Moja ya udhaifu wa Jide ni ubinafsi,ata akiongelea kitu ni changu sio vyetu,nyumba yangu,gari yangu,mgahawa wangu,mbwa wangu,kochi langu...na yeye hakosei ata akikosea umuombe msamaha.

Umenena mkuu
 
Nili bahatika kuangalia interview ya Jana Mkasi nilicho gundua hawa watu hawapendi kuongelea mambo yao kwa with hasa ya ndoa yao!
Mwanzo Gardner alikataa kuongelea kabisa swala la ndoa na Jide lakini mwishoni kuna swali aliulizwa kimtego akajichanganya likaonesha ni wazi hawajaachana!

Maana alipo ulizwa kuhusu ndoa yake na kuhusu Jide alisema hataki kuongelea na alimuahidi Salama ata hakikisha ana mpa Jide kwenye mkasi na Salama alisema atashukuru!

Sasa ukitaka kujua wameacha au hawajaachana kwanza jiuliza kwanini alisema atamleta Jide kwenye Mkasi!

Gardner alionesha kabisa hawajaachana japo hakusema! Hila G ana busara sana!
 
Back
Top Bottom