Hakuna kikubwa sana Gadner anachopata kwa Jide zaidi ya mapenzi tu....hivi Gadner bila Jide hawezi kumiliki gari? bila jide hawezi kujenga? bila jide hawezi kuwa na maisha mazuri?...kuna mtangazaji expensive kwa sasa bongo kumshinda Gadner? amekataa offer ngapi nzito kwa ajili ya kusimamia miradi yao? kuna kampuni gani ya promosheni itakataa kuwa na mtu kama gadner bongo hii? Ebu muulizeni kusaga uwezo wa uyu jamaa na mpaka kesho anamtaka........Acheni uswahili bwana G sio mnavyojaribu kumuweka au mlitaka awe analeta taharifa hiki nna mchango flani,kile nna mchango flani....Moja ya udhaifu wa Jide ni ubinafsi,ata akiongelea kitu ni changu sio vyetu,nyumba yangu,gari yangu,mgahawa wangu,mbwa wangu,kochi langu...na yeye hakosei ata akikosea umuombe msamaha.