Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #121
hahahaha jf rocks japo hii habari inani sikitisha lakini hii comment imenifanya nicheke daa
nataka nikafanye kazi ya udukuzi Global Publisher's....
hata kama hazai ndio uwe unamchepukia kiwazi kiwazi. kuzaa ni majaaliwa
usichelewe basi
Aliyekuwa mkewe alishaolewa kitambo sana hapa rock city, tena alibadili dini sababu ya mume mpya
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
mambo ya what goes around comes around.
hongera kwa bidada alikua anaitwa Ida ka sijakosea.
Ndoa ya aina gani hiyo?? Ya kanisania au msikitini??
Wambea mko wengi.
Hili jukwaa ni kama magazeti ya udaku vile..
Who cares! Jide ndio nani?
The King.
Mtende tiririka basi. unaonekana unawajua vyemaMbona jide nae anachepuka??? Nani asijua kwamba advocate nkon ndo anamweka jide hapa mjini?? Kunya anye kuku,akinya bata..... aah mwacheni gadner kwanza jide ni kikongwe sana kwake
Mbona jide nae anachepuka??? Nani asijua kwamba advocate nkon ndo anamweka jide hapa mjini?? Kunya anye kuku,akinya bata..... aah mwacheni gadner kwanza jide ni kikongwe sana kwake
Teh teh teh...watu wepesi kusahau...nakumbuka those days magazeti ya udaku ndio yanaanza kazi...mpaka picha ya mkewe ndani ya shela walirusha na katoto juu...
Ndoa ya aina gani hiyo?? Ya kanisania au msikitini??
Hili jukwaa ni kama magazeti ya udaku vile..
Dah!!! Bibie Jide kwa sasa kama hii habari ni ya ukweli ndiyo muda wa kuanza kuwa ninapendeza na mida yote ninaenda kushinda pande za nyumbani lounge
Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
Nashangaa,wameshindwana wstajiju
yule mama mnafki tuuu!
kaolewa tena AMESLIM(lkawa muislam)
Na ndoa yao ilikua na migogoro kabla ya jide sema jide kwa kua aliku maarufu ndo maana
G.Habash si ni mtangzaji...ana kazi yake na mshahara wake!! Kwanini mnamuita Mario???