Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Nili bahatika kuangalia interview ya Jana Mkasi nilicho gundua hawa watu hawapendi kuongelea mambo yao kwa with hasa ya ndoa yao!
Mwanzo Gardner alikataa kuongelea kabisa swala la ndoa na Jide lakini mwishoni kuna swali aliulizwa kimtego akajichanganya likaonesha ni wazi hawajaachana!

Maana alipo ulizwa kuhusu ndoa yake na kuhusu Jide alisema hataki kuongelea na alimuahidi Salama ata hakikisha ana mpa Jide kwenye mkasi na Salama alisema atashukuru!

Sasa ukitaka kujua wameacha au hawajaachana kwanza jiuliza kwanini alisema atamleta Jide kwenye Mkasi!

Gardner alionesha kabisa hawajaachana japo hakusema! Hila G ana busara sana!

Nilimpenda bure alivyokuwa anaruka viunzi.
 
Jamaa ana busara sana aise,,NIlipenda sana majibu yake namna alivyo kuwa anajibu, hasa alipo jibu kuhusu ugomvi kati yao na clouds.
 
mchaga kazaliwa na kukulia tanga ulimi umenyooka,jamaa ana busara sana na anajua kujibu kiungwana hata mimi naungana na wanaosema kuna mtafaruku sababu hawezi kukwambia mkeo nawe umsahihishe kwa kumwambia amwite jina lake kuna mushkeli hapo.
 
Kumbe ulishindwa kujua Gardner alikuwa anacheza mind game na kabla ya interview alijua kabisa watu na Salama walicho taka kujua ni kuhusu ndoa yake hivyo hakuta kuwapa nafasi!
 
Jide hajawahi kupendwa na Gardner analazimisha naona baada ya ndoa kuvunjika sasa anataka kujirudisha kwa nguvu kwa jamaa mara interviews mara wine talk halafu anambebea na zawadi jamaa😊😊😊 huyu bibi naona hajawahi kupenda mwanaume mwingine zaidi ya Gardner
 
Jide hajawahi kupendwa na Gardner analazimisha naona baada ya ndoa kuvunjika sasa anataka kujirudisha kwa nguvu kwa jamaa mara interviews mara wine talk halafu anambebea na zawadi jamaa[emoji4][emoji4][emoji4] huyu bibi naona hajawahi kupenda mwanaume mwingine zaidi ya Gardner
20231115_052658.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haujui MAPENZI USIONGEE KITU.omba tu yasikukute

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni Jde niko tayari hadi kumwogesha. Hatakaa ajute kunipata. Aseme tu niende hata asubuhi hii..

Nina PhD ya kumliwaza mwanamke hata awe na machungu vipi.

Umarioo nayo ajira kama ajira nyingine.

Mpeni namba yangu tuyajenge.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
😳😂😂😂😂😂😂🙌💆
 
Mwambieni Jde niko tayari hadi kumwogesha. Hatakaa ajute kunipata. Aseme tu niende hata asubuhi hii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gadner aliwahi kujisifu (akiwa amewela).. kwamba amemkojo.... kwa miaka 10 kwahyo kama kamuacha fresh tu.. inawezekana bi dada anatamani zipigwe tu hata game za kishkaji hata kama hawezi kurudiana nae, so unatengenezwa urafiki ili jamii izoee kuwaona pamoja kama "washkaji", huku wakilana kimasihara
 
Back
Top Bottom