Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Status
Not open for further replies.

Teresia Mahimbi

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
271
Reaction score
91
Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiofaaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa mwili mmoja!!

DSCF4700.JPG
 
Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiof
DSCF4700.JPG
aaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa mwili mmoja!!

uyo mzungu hapo nyuma kama sijamsoma!!??
 
Azania front,yes wapo wachungaji wanawake..Ndi wamependezaaaaa,one of the best wedding kwa watoto wa mujiniiiii n talk of town
 
kweli darslamu masupu staa wengi....

Ndo kina nani hao?

Huku chanika pia wanajulikana?

Huyo bibi harusi ni zaidi ya masupa staa hawa wa kibongo, alikuwa ni video queen huko kwa Obama kafanya video nyingi na akina T.I, 50 cent na Rick Ross..humu kuna hii thread ilishawahi kuwazungumzia au google jina lake ka utakuwa upo interested kumfahamu.
 
kanisa gani?? anglikan au?? kwani azania front si ni la walutheri?? kuna wachungaji wanawake?? ol in ol walipendeza!! it was nice indeed!

Sijajua ni kanisa gani...lakini ukitoa haya makanisa ya 'uamsho', ni waLutheri tu ndio tuna wachungaji wanawake. Tuko gender sensitive sie bana...
 
  • Thanks
Reactions: ram
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom