Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Status
Not open for further replies.
At least kuna Mwanaume kamuona anafaa kuwa mke na amemuheshimu,kuliko wanaoishia kuchezewa na kuachwa tu
ka Batamzinga.
 
DSCF4749.JPG


mmmh!!!
 
Umesema huyu dada alikua anacheza video uchi Marekani? Au sijasikia vizuri?
Na huyo jamaa ni ze proffessional thief?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona sioni ufahari wowote hapo au macho yangu mabovu?
 
Demu ni wa Mwanza mbona, kapiga kitabu Mwanza Sec alopomaliza alipepea zake Marekani.

Doreen na Mziray mdogo ni lini nao wanafunga ndoa
 
Cynthia bado unachezaga basketball, ulikuwaga unatisha best
Best wakati unaondoka kwenda marekani uliondokaga na cheni yangu, nitakusakanyaje unirudishie! na hivi unahela nadhani utanibariki kwa cheni ta diamond eeh!
 
Naskia wamechoka balaa siku hizi ni mwendo wa boda Boda wakijitahidi sana bajaj....sijui walikosea nini mahela yote yale yakaisha ghafla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom