Teresia Mahimbi
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 271
- 91
Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiofaaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa mwili mmoja!!
kanisa gani?? anglikan au?? kwani azania front si ni la walutheri?? kuna wachungaji wanawake?? ol in ol walipendeza!! it was nice indeed!Ni padre huyo wajameniiiiiiiii
Ni padre huyo wajameniiiiiiiii
kweli darslamu masupu staa wengi....
Ndo kina nani hao?
Huku chanika pia wanajulikana?
Wasiliana na utawala walifute kabisa jukwaa la Celebrities manake ndo dhumuni la kuanzishwa kwake kwa post kama hizi..this has nothing to do with JF. Mnajaza saver
kweli darslamu masupu staa wengi....
Ndo kina nani hao?
Huku chanika pia wanajulikana?
kanisa gani?? anglikan au?? kwani azania front si ni la walutheri?? kuna wachungaji wanawake?? ol in ol walipendeza!! it was nice indeed!
wanaitwa cynthia masasi na richard mziray! mke mwenza upo???kweli darslamu masupu staa wengi....
Ndo kina nani hao?
Huku chanika pia wanajulikana?
wanaitwa cynthia masasi na richard mziray! mke mwenza upo???