Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Status
Not open for further replies.
hao ni richard mziray na cynthia masasi walikua HT Texas ila sasa wapo bongo,hao kina mziray wapo wawili brothers na rafiki yao mmoja walipiga dili la wizi wa insurance wakalamba hela ndefu ndio wakawa deported,ipo siku FBI watawazukia maana hela waliyoiba si kitoto,ndio wamenunua hayo magari ya kifahari mengi na kujenga migorofa...mjini mipango chezea wapare wewe!!!

loh,
mke mwenza mie mmeniache ferriiiiii hata siwajui hao
 
Safi sana Town Ukiwa na Mjengo kama huu bhaaaasiiiiii.
 
wasiliana na utawala walifute kabisa jukwaa la celebrities manake ndo dhumuni la kuanzishwa kwake kwa post kama hizi..
Kuhusua kujaza saver, ikikaribia kujaa wahusika watatutaarifu, la sivyo ka hauna cha ku comment unaweza kukaa kimya.

wakuu nadhani ni server sio saver kama mnavyoandika! Kiingereza kigumu waungwana!
 
Safi sana Town Ukiwa na Mjengo kama huu bhaaaasiiiiii.
House for rent.ya kupanga.richard ameshazoea hela.hizo nguo Za harusi walinunua texas.saa hizi pesa zimeshaisha.Richard mshikaji nilihisi utakaa private .haya Cynthia mwanaume akikupenda hakufundishi wizi.ulifungwa Houston umerudishwa .Richard akikukimbia si unamjua,utaweka wapi sura .haya
 
Mmmmhhhh Jamaa kawakalisha vigogo kwa harusi ya kifahari sidhani kama kafulia maana hajatembeza bakuli watu wamchangie ni effort yake na family friends only......

Acha wale jasho lao la kupiga box mbele huko,kama waliiba na kuweza kuhamisha mamilioni ya dolar bila kukamatwa heri yao,maana si rahisi kufanya hivyo ati,kila mtu atapambana na njia yake ya mafanikio,wivu hautakiwi!
 
Inaharibia nchi
 
Inaharibia nchi jina.unaona wanigeria wameharibu
 
hayeni, kila la heri, waibe wasiibe bora wa heri na bora mkono unaenda kinywani!! ila cku inakuja yote hayo hamtayaona tena, siku mwenye kuiumba dunia hii atakaporejea.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…