mmmh!!!
Kama ni magazeti ya humu bongo nishawahi ila si kwa story za wadaku na wakaa uchi na kiukweli sihitaji labda magazeti ya nje kwa ishu za maana sio za kichokoWewe umeshawahi kuandikwa Gazetini au hata kuanzishiwa thread hapa JF?
Roger that!!!!
Hawa celebrity wetu wako wapi sasa.Sisikii vurugu za mjini kama zamani
Wametuliaa kama wananyolewaa
mmmh!!!