Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Status
Not open for further replies.
Naskia wamechoka balaa siku hizi ni mwendo wa boda Boda wakijitahidi sana bajaj....sijui walikosea nini mahela yote yale yakaisha ghafla

Kwani boda boda ni kufulia ni usafiri pia .
 
Vipi mbona nusu ya matiti yako nje? Hayo not for public consuption.
 
Hehehehe wewe lazma ni Cynthia...saivi unafananisha benz na boda Boda. ????

Tanzania pamebadilika sana.Usafiri ni usafiri tuu.mbona USA watu wanapanda mabasi na train .too many cars Daresalaam sasa hivi .Mimi nikija bongo mwendo bodaboda
 
Tanzania pamebadilika sana.Usafiri ni usafiri tuu.mbona USA watu wanapanda mabasi na train .too many cars Daresalaam sasa hivi .Mimi nikija bongo mwendo bodaboda

Ni hatari kuendesha dar .
 
Wabongo hatuwezi kukosa la kuongea hata ufanyeje haturidhiki , tuwaache waishi wanavyotaka ni maisha yao binafsi alifirisika evander holifield na kina mikw tyson ije wao
 
Wamehamia kinondoni...from mbezi beach kwenye ghorofa..hawana gari la maana ht moja..kudandia ya watu...Cynthia anapanda bajaj siku hizi

Hahahaa haaaa. Chezea life la show off aka maigizo
 
Wamehamia kinondoni...from mbezi beach kwenye ghorofa..hawana gari la maana ht moja..kudandia ya watu...Cynthia anapanda bajaj siku hizi

Wewe lazima una ishu binafsi na cinthia, ebu acha kuchafua watu bila sababu wanaishi bahari beach kwenye gorofa na ndio wamepanga na kama kapanda bajaji basi kaamua maana juzi tuu katupostia insta benz nyekundu
 
Usiwatetee hao kina rich long time wamerudisha mpira kwa kipa. ..imebaki historia!hii daslaam ukipiga sana kelele watu wanakuhesabia siku tu za sukari. .walijitahidi kuwa neno mjini ila ndo vile maisha hayana bingwa yaliyowakuta kina kajumulo,Jack pemba na dallas ndo yamewakuta wao
 
Siwatetei naongea facts kufulia wamefulia watu wenye hela kama Kina tyson,evander holifield,toni braxton na wengine kibao sembuse wao nachosema ni kuongea uongo wa sijui wanaishi kinondoni hiyo inakuwa kama beef flani binafsi , mke wangu kama wiki kaniambia nimepishana na sinthia mikocheni yuko na benz ya silver ile 600 , lakini ukisikiliza ya watu wanasema yao ,maisha yana kupanda na kushuka najua kila mtu kapewa uhuru wa kuongea lakini ongea ukweli tu
 
Wewe lazima una ishu binafsi na cinthia, ebu acha kuchafua watu bila sababu wanaishi bahari beach kwenye gorofa na ndio wamepanga na kama kapanda bajaji basi kaamua maana juzi tuu katupostia insta benz nyekundu

Ni mchafue nini sasa tunaongea facts hapa...huko insta kila mtu anapost anavyojisikia....Cynthia wa kuuza samaki. Leo hii??..u dnt knw wat u r talking...n who u r talking too...bora uke kimya...maana hujui unachotetea
 
kwa hiyo anapost tbt sindio?una wivu wewe au alikutolea nje au unataka bwanake akusugue?hata akiuza ubuyu alikuja kwako kukuomba msaada?by the way im talking to you loser na sio who u r talking too ni who r you talking to with single o rudi shule labda utaacha umbea mtoto wa kiume
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…