haya maisha haya!huyu rich mzigo aliokuja nao bongo ulikuwa mrefu saanaaa yaani mjini kila kona ni jina lake utasema dar es salaam nzima mwanaume alikuwa peke yake!.....sasa amebaki "dah!mwanangu ningekujua kitambo tungefanya sana mambo ya maana hapa mjini" kwa kila mbishi akutanaye hiyo ndo kauli mbiu yake.........hii daslaam ina formula ndo maana kuna wabishi tangu aka hizo wanamaintain kibishi japo mzigo hawana kivile ila majina yapo juu!na kuna wabishi wanakuwaga juu wanachoka wanarudisha mpira kwa kipa baada ya siku kadhaa wanarudi tena juu!..hao sasa ndo wenye mji wao!...