Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West yavunjika rasmi

Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West yavunjika rasmi

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
1646311324364.png

Kim Kardashian hatimaye ametalakiana rasmi na mume wake YE aliyejulikana kama Kanye West baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka minane.

Katika uamuzi wa mahakama uliotolewa kupitia njia ya video nyota huyo pia ameondoa jina la West kutoka katika jina lake la Kim Kardashian West na kuwa Kim Kardashian.

Kardashian, ambaye aliwasilisha ombi la talaka na rappa huyo December mwaka uliopita. Hata hivyo wawili hao sasa watalazimika kusuluhisha ugawanaji wa mali na malezi ya Watoto wao wanne.

1646312257103.png

Pia soma:

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

Chanzo: BBC
 
Kanye's trash for betraying Coodie when he finally made it, man. So I hope he pays somehow. Hope we get the ole Kanye back too, musically.
 
Ila Kanye ana vituko alikuwa analia arudiane Kim
 
Back
Top Bottom