Ndoa ya Lola na Peter: Umri na ukabila unavyoitesa familia ya akina P-Square

Ndoa ya Lola na Peter: Umri na ukabila unavyoitesa familia ya akina P-Square

Muda si mrefu watatengana kila mtu ataimba kivyakee
 
Sasa kwani Mama yake Peter(Rip)ni MUNGU?
If they love each other...Sooo What!.....
 
inadaiwa Igbo wanaamini kwamba wanawake wa Ki Yoruba wana mkosi na wanapenda kumiliki waume zao kwa maana wana sauti katika nyumba.
Kumbe vile vitabu vya akina Ikemefuna, Obi Okonkwo na story zao za outcast wenyewe hawazisomi?!!! Hivi si Obi Okonkwo alimchukua Clara (outcast) ambae iliaminika ni nuksi kuoa kv ni outcast lakini Obi kabeba mzigo na hakudhurika wala nini... yaani wanaandika vitabu wenyewe, wanawaachia wengine kuvisoma!
 
Wanawake ndo chanzo cha tatizo mahala popote pale duniani. Hata lingekuwa sio hilo kwakuwa washasogeza wanawake lazima wangekosana tu! Sumu ya eva kwa baba adamu pale hedeni itatutafuna sana!!

Yes! wanawake ingawa ni watu muhimu bt ni Matatizo vilevile Wanawake wamefanya baadhi ya Wanaume kufikilicka,kutengana na Ndg,nk,,,,
 
yani hapo wakae mwaka mzima bila kurekodi..Kila mtu kwake mke wake full stooop...
 
kwaa maoni yangu mimi waeke ukabila unaija na uafrica kando wafanye kazi watsfute lawyer waandike miongozo yso wa2 tu wawe wanaifuata hiyo hata ikitokea shida tena warudi kwenye muongozo mahusiano yasilete shida na lisiwe jambo la kikuni.
 
Back
Top Bottom