Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
kwani na yy ni mjumbe wa bunge la katiba?
huyo ni UKAWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani na yy ni mjumbe wa bunge la katiba?
Asante kwa kututukana.
Kumbe vile vitabu vya akina Ikemefuna, Obi Okonkwo na story zao za outcast wenyewe hawazisomi?!!! Hivi si Obi Okonkwo alimchukua Clara (outcast) ambae iliaminika ni nuksi kuoa kv ni outcast lakini Obi kabeba mzigo na hakudhurika wala nini... yaani wanaandika vitabu wenyewe, wanawaachia wengine kuvisoma!inadaiwa Igbo wanaamini kwamba wanawake wa Ki Yoruba wana mkosi na wanapenda kumiliki waume zao kwa maana wana sauti katika nyumba.
Wanawake ndo chanzo cha tatizo mahala popote pale duniani. Hata lingekuwa sio hilo kwakuwa washasogeza wanawake lazima wangekosana tu! Sumu ya eva kwa baba adamu pale hedeni itatutafuna sana!!