Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

They have lived together for years,
They have kids,
Ulitaka kusikia viapo? Wangapi wanaapa na hawaishi hivyo viapo wanatufanyia maigizo tu wapenzi watazamaji,
bora hawa wanafanya kweli kimya kimya
Wazinzi tu haijalishi kwenye viapo mnadumu au hamdumu hawajaoana hvyo wazinzi
 
Unamfaham msanii WA kuitwa NINA alikuwa pisi Kali balaa.

Yupo kwenye ndoa Nadhani ni mwaka WA 18 sasa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ametulia sana yule dada macho mazurii
Monalisa na George Tayson
Monalisa na slim wotee kaachana nao huyu Ndo akasema monalisa sio mwanamke wa kuoa ni jeuri balaaaa
 
Usiombe ukutane na aina hii ya mwanamke ktk mapenzi ,badala ya kufeel mapenzi unaanza kuhisi kero na ego inapanda unakua ugomvi mkubwa,aina ya mwanamke anaetaka kujua karibia kila kitu unachofanya hadi unavyofikiri ,ukiwa kimya anasema unawaza mademu zako,yaani anakua anawaza against ur mind almost kila unapojaribu kumantani amani nakua calm,yy huibua tafrani na sintofahamu.
 
Kile ni aina flani ya kichaa sio bure.
 
Kile ni aina flani ya kichaa sio bure.
True mkuu, haiwezekani kisa mko ktk mahusiano iwe kama umetawaliwa hadi mawazo yako inakua kmaa uko cello,hata ladha ya mahaba inaanza kupote inaibuja hisia zakua mfungwa au mtumwa,hatumae unaanza kupelekeswa nakuji asolate na jamii kwa ujumla,kimbembe hutokea pale unapohitaji msaada kutoka kwa jamii,maana aina hii ya mahusiano automatically utaji isolte na maisha ya jamii koujumlawake hadi ndugu,namarafiki pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…