reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hawajaoana hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajaoana hawa
Wazinzi tu haijalishi kwenye viapo mnadumu au hamdumu hawajaoana hvyo wazinziThey have lived together for years,
They have kids,
Ulitaka kusikia viapo? Wangapi wanaapa na hawaishi hivyo viapo wanatufanyia maigizo tu wapenzi watazamaji,
bora hawa wanafanya kweli kimya kimya
Mda mbonaNdoa ya AY chali?
Ametulia sana yule dada macho mazuriiUnamfaham msanii WA kuitwa NINA alikuwa pisi Kali balaa.
Yupo kwenye ndoa Nadhani ni mwaka WA 18 sasa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nahreel baba Ake mkubwa ni nimrodi mkono nadhani kwao sio mbaya Wana vumba tu wote wanapendana waleInawezekana alikuwa anasupport harakati za Nahreel kama producer so jamaa akaamua kustick naye?
Tafsiri ya ndoa kwako ni ipi?Hawajoana wanazini
Msanii wa Muziki.Beyonce ni msanii au mwanamuziki
Kaja na malori ya maparachichiUmekuja mjini juzi tulia tu fuatilia uzi mwishoni utamjua tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahreel anavumilia mateso afaidi mafao uzeeni
Usiombe ukutane na aina hii ya mwanamke ktk mapenzi ,badala ya kufeel mapenzi unaanza kuhisi kero na ego inapanda unakua ugomvi mkubwa,aina ya mwanamke anaetaka kujua karibia kila kitu unachofanya hadi unavyofikiri ,ukiwa kimya anasema unawaza mademu zako,yaani anakua anawaza against ur mind almost kila unapojaribu kumantani amani nakua calm,yy huibua tafrani na sintofahamu.Madem type ya Aika ni manipulators, huwa wanataka ku dominate territory yao mwanzo mwisho kiasi kwamba kwa mtu huru anaanza ku feel suffocation sasa badala ya upendo.
Unageuka kuwa kama tool sasa na sio binadamu. 24/7 anataka akuone around her ukitoka tu lawama, umeenda kwa madem zako vurugu vurugu. Mwanamke anapenda sana ila anazingua na mawivu yaliopitiliza.
Kile ni aina flani ya kichaa sio bure.Usiombe ukutane na aina hii ya mwanamke ktk mapenzi ,badala ya kufeel mapenzi unaanza kuhisi kero na ego inapanda unakua ugomvi mkubwa,aina ya mwanamke anaetaka kujua karibia kila kitu unachofanya hadi unavyofikiri ,ukiwa kimya anasema unawaza mademu zako,yaani anakua anawaza against ur mind almost kila unapojaribu kumantani amani nakua calm,yy huibua tafrani na sintofahamu.
True mkuu, haiwezekani kisa mko ktk mahusiano iwe kama umetawaliwa hadi mawazo yako inakua kmaa uko cello,hata ladha ya mahaba inaanza kupote inaibuja hisia zakua mfungwa au mtumwa,hatumae unaanza kupelekeswa nakuji asolate na jamii kwa ujumla,kimbembe hutokea pale unapohitaji msaada kutoka kwa jamii,maana aina hii ya mahusiano automatically utaji isolte na maisha ya jamii koujumlawake hadi ndugu,namarafiki pia.Kile ni aina flani ya kichaa sio bure.
Starehe gharama Kama hutaki piga punyereMademu wa Kinyarwanda watamu sema expensive