Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twanga pepeta mwambie.....usimkejeli pengine ni mtoto amezaliwa 2000 kamili hivyo hawezi kujuaUmekuja mjini juzi tulia tu fuatilia uzi mwishoni utamjua tu
Kwani vipi Tena?Kwa Masikitiko Makubwa Konde hakupima Afya
Eti kimetokea nini?.si wana kitoto kichanga?Ndoa ya Manara taabani tena
Marlow kwani waliachana?Marlaw vs Besta
Tunywe bia kwa wingiNdoa na iheshimiwe na watu wote
😂 😂 😂 😂 😂Uwoya watu wanapokezana tu
Ila Huyu dada ana balaaa sanaaaUwoya watu wanapokezana tu
Hahahaa umejuaje kama jide ni tasaShilole ni msagaji na pia anapelekesha wanaume hawezi kudumu
Wema anapenda starehe sana na mtumiaji mbaya wa pesa
Irene woya ana madanga mengi na anataka pesa kwaio hawez kudumu kwasababu anatak kuwa huru
Jay dee ni tasa kwaio hakuna mwanaume atakae kubaliana na hilo
Aisha Mohammed (rip)Haya hapa nishaongeza idadi ninaowajua. Aisha Madinda, Lilian Internet, Kimobitel na huyu. Na wote nawajulia JF
Luiza Mama la MamaMsanii Nguli, LUIZA MBUTU amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa sasa, Hana makeketofauti na wasanii wengi nchini.
Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Harmonize Vs Kajala, Wema Vs Jumbe, UWOYA Vs Ndikumana, Dogo janja vs Uwoya, **esma Vs petit, esma (Tena) Vs msizwa, Haji Vs mke2, Shilole Vs uchebe, jay Dee Vs Gardner, AY Mzee wa commercial wastara na waume zake 7.