Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

ikiwa sie majungu ya pahala tunaishi kuna muda yanatuchanganya je hawa celeb... wanaopigwa majungu mtandaoni na mtaani wana hali gani? yaani hata kama jambo halihitaji negativity bt wajuba watazitia tu kwa lazima
 
Milionea??? Mwambie amalize kwanza nyumba ya Mbweni Mpiji ndio aoe.

Nawashauri waendelee kupiga tizi,kula vizuri na kuzingatia ushauri wa daktari bila kusahau kunywa dawa kwa wakati.
Inaonekana unayajua maisha ya wengine kuliko ya kwako mwenyewe.Mimi napenda kuishi maisha yangu na sii kuishi maisha ya wengine.Ishu ni wao kutangaza ndoa.Niwatakie kila lililo la kheri na Mungu awajaalie.
 
... hivi kuoa demu kama huyo ambaye kila mtu ana uhakika "kaliwa" na wengi unajisikiaje sijui! Anyway, kila mtu ana interests zake.
Mkuu zile hazinaga makombo inaoshwa tu kwa matumizi ya baadae😂
 
Hii ishu kwa celebrities sijui haiumi..

Kanye Waste kamuoa Kim Kardashian huku akijua kuwa mkewe kaliwa na Ray Jay na sex video footage ipo mitandaoni,,Ray jay akienda uvinza mixer heavy penetrations..
Mkuu hiyo video itaipataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…