Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
hii ndio wanaita roho za koroshoMilionea??? Mwambie amalize kwanza nyumba ya Mbweni Mpiji ndio aoe.
Nawashauri waendelee kupiga tizi,kula vizuri na kuzingatia ushauri wa daktari bila kusahau kunywa dawa kwa wakati.