tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mimi naskiza miziki ya malegend ndio huzipenda,kila jioni lazima niskize reggae za bunny spear,bob andy,jimmy railey,marcia griffth yani ndio starehe yanguHatari sana hao watu ingawa wamekata kamba lakini miziki yao bado inaishi.
Duh! Kuna mazito hapa.Milionea??? Mwambie amalize kwanza nyumba ya Mbweni Mpiji ndio aoe.
Nawashauri waendelee kupiga tizi,kula vizuri na kuzingatia ushauri wa daktari bila kusahau kunywa dawa kwa wakati.
Namuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh
Namuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh
Upo Vizuri Sana, UtaolewaNamuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh
Lemutuz yupo single jiweke hapoNamuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh
πππ πππZinapatikana wap binam nikavae? Hata waniambie nivae sanda ntavaa binamu maana sio kwa nuksi hizi za kutokuolewa
Unayo picha?Kuna bikra namfaham she is 30,,atatoa mambo kwa mumewe tu. Mlokole sugu
Kwahiyo wewe mpaka sasa bado bikra wa kiume?Akikosekana sitooa,,mbona simple tu braza
Whatever the case..Kwahiyo wewe mpaka sasa bado bikra wa kiume?
Anaomba Kia Mc[emoji28][emoji28]Bii12 anasemaje?,,
[emoji23][emoji23][emoji23] unataka picha ya nini chief?Unayo picha?
Mweeh!Kabisa bongo acting nyingi,jamaa si milionea ana fedha ya kula tu,sijawahi kuona milionea kashindwa kujenga nyumba,majizo amejenga servant quarter mbweni,majirani zake wote wameporomosha maghorofa ila yeye bado nchecheme nchecheme.
Mmmh si kwa mashauzi yale[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji15]Wamepanga huko Bahari beach,majizo ana hela ya kununua kiwanja bahari beach? Bahari beach viwanja ni eka nzima ,Nyumba ya majizo ni hii hapa chini,kama Lulu anabisha mwambie apige picha nyumba anayoenda mbweni.....Mimi ni fundi ujenzi,kwa bahari beach mwenye maeneo ni Baba yake maria sarungi,amenunua jumba la ghorofa 6 la najim,jirani na magembe.
View attachment 1596872