Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Sijaoa na siwezi kuoa demu ambaye sio bikra..

And finally,kuna tofauti kati ya kutokumkuta mkeo bikra na kujua mtu/watu waliomla mkeo na video footage zipo
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Milionea??? Mwambie amalize kwanza nyumba ya Mbweni Mpiji ndio aoe.

Nawashauri waendelee kupiga tizi,kula vizuri na kuzingatia ushauri wa daktari bila kusahau kunywa dawa kwa wivu mbaya sana Ho gera zake kimbe a ajenda atamalizia tu haina shida nyumba haij3ngwi siku moja na familia inaanza na ndoa halali
 
Milionea??? Mwambie amalize kwanza nyumba ya Mbweni Mpiji ndio aoe.

Nawashauri waendelee kupiga tizi,kula vizuri na kuzingatia ushauri wa daktari bila kusahau kunywa dawa kwa wakati.
Duuh...! Yaani kwambaaaaa?
 
Back
Top Bottom