Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Duh basi jamaa kapenda kweli.Za chini chini leo ndo ile siku wanaoana..ila ni ndoa ya siriView attachment 1703707
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh basi jamaa kapenda kweli.Za chini chini leo ndo ile siku wanaoana..ila ni ndoa ya siriView attachment 1703707
Mbona siri tena??Za chini chini leo ndo ile siku wanaoana..ila ni ndoa ya siriView attachment 1703707
Kama ni kweli,ni jambo jema hongera sana kwao.Za chini chini leo ndo ile siku wanaoana..ila ni ndoa ya siriView attachment 1703707
Itakuwa..japo waja wanasema inawezekana na bi dada nae kapuliza tunguli[emoji1787][emoji1787]Duh basi jamaa kapenda kweli.
Sielewi pia mkuu si unajua page za udaku hahaMbona siri tena??
Vipi hii ndo ishafungwa??Hayawi hayawi sasa yamekua, ile ndoa iliyokua ikisubiriwa kwa hamu baina ya staa Elizabeth Michael, Lulu na Majizo imewadia, baada ya Ndoa yao kutangazwa rasmi leo katika kanisa la mtakatifu Andrea lililopo bahari beach .
Shoga kidawa anaolewa na millionaire , hamisa Sijui atakua na hali gani hukoView attachment 1596840
tayari mkuuVipi hii ndo ishafungwa??
Yametimia leo, Rais wa wambeya hujawahi kuiangusha JF kuwa be the first to know kwa udaku first class. [emoji2][emoji2]Hayawi hayawi sasa yamekua, ile ndoa iliyokua ikisubiriwa kwa hamu baina ya staa Elizabeth Michael, Lulu na Majizo imewadia, baada ya Ndoa yao kutangazwa rasmi leo katika kanisa la mtakatifu Andrea lililopo bahari beach .
Shoga kidawa anaolewa na millionaire , hamisa Sijui atakua na hali gani hukoView attachment 1596840
Wataachana tu, sasa send off ya nini kusumbuwanwatu michango?Nasubiri kesho kwa hamu ila duh mbona sendoff kimya jaman
Wataachana tu, sasa send off ya nini kusumbuwanwatu michango?
Tumetoka kwenye January, wachangaji tumepigika.
Tayari jana, wanandoa wako honeymoon Serena hotel.Vipi hii ndo ishafungwa??
Sasa honeymoon ya nini wakati walikua wananyanduana kila siku???Tayari jana, wanandoa wako honeymoon Serena hotel.