Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Hayawi hayawi sasa yamekua, ile ndoa iliyokua ikisubiriwa kwa hamu baina ya staa Elizabeth Michael, Lulu na Majizo imewadia, baada ya Ndoa yao kutangazwa rasmi leo katika kanisa la mtakatifu Andrea lililopo bahari beach .

Shoga kidawa anaolewa na millionaire , hamisa Sijui atakua na hali gani hukoView attachment 1596840
Vipi hii ndo ishafungwa??
 
Vipi hii ndo ishafungwa??
tayari mkuu
the_originaleast_20210216_3.jpg
 
Hayawi hayawi sasa yamekua, ile ndoa iliyokua ikisubiriwa kwa hamu baina ya staa Elizabeth Michael, Lulu na Majizo imewadia, baada ya Ndoa yao kutangazwa rasmi leo katika kanisa la mtakatifu Andrea lililopo bahari beach .

Shoga kidawa anaolewa na millionaire , hamisa Sijui atakua na hali gani hukoView attachment 1596840
Yametimia leo, Rais wa wambeya hujawahi kuiangusha JF kuwa be the first to know kwa udaku first class. [emoji2][emoji2]
 
Wataachana tu, sasa send off ya nini kusumbuwanwatu michango?

Tumetoka kwenye January, wachangaji tumepigika.

Wewe ni mmoja wa 'wachangaji' kwa Majizzo au unamaanisha kuchanga nini?
 
Back
Top Bottom