Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
 
Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…