Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Shukrani ya punda ni matekeTwende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Shukrani ya punda ni matekeTwende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Hii ndiyo ingekuwa azimio la CDM wanaume kwa wanawake wote wasingeliunga mkonoNo Reform No Erection
Duh!..Leo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali, ?Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani, habari rasmi tembelea instagram
Si banatuambia bakifika huko insta.Erection? 😳😳😳😳
C o utaniHii ndiyo ingekuwa azimio la CDM wanaume kwa wanawake wote wasingeliunga mkono
Nimecheka sana hiyo commentJF hii usikose bando tuu. 😁
mwanamke muachane kwa mbinde anakuacha afu aende insta anaku pakazia yote. No Erection yule😉😂😂😂😇😇Ejaculation? 😂😂😂😂
Miss hajapatikana tu mtu wa kukutuliza. Mungu tena!Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Ogopa sana watu wa shows off hawa,ndani kunakuwa na uongo mwingi sana ..ndoa salama inaonekana yenyewe bila kujitangaza.Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Sasa Mwanaume kama Haji utasema Mwanamke ana matatizo jamaniii hapana si kwa kuoa na kuacha kwa kiwango kile huyo mzee atafia kwenye kinena.Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Vipi umepona miwasho?Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Apigwe marufuku tuNi muda muafaka Serikali iingilie kati kumzuia haji manara asioe tena [emoji1787][emoji23]