Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Hapo Manara tayari ana mke wa kuoa. Huu mwaka hauishi atafanya harusi kubwa tena!!! Kwa raha zake.
Huyo Manara itakuwa ndo kwake ni sehemu ya kupiga hela kupitia michango.

Maana katika ile ndoa yale alipata Sana hela za michago.

Itakuwa ni mradi wake maana sio rahisi MTU Una miaka 50 then uanze kuangaika na kuoa Ahsubui na jioni .
 
Miaka 50 sio umri wa kugombana kisa mwanamke Sasa zahylisa kazaliwa 1999 haji 1975 gap la miaka 24,

Kimsingi brother haji atulie angetafuta Ata kabinti, kakijijini atulie nako kama shida ni upwiru
Atatulia vipi wakati kuoa ndo Biashara yake inayomuingizia hela kuzidi Biashara zake zote.

Huyo siku watu wakimpuuza ndo ataacha huo ujinga .
 
Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
tafuta mtu acha kujifariji u single sio mzuri, ukiwa single rahisi kuwa mchawi, jambazi ama gaidi!.
hizo changamoto za kwenye mapenzi huwa zipo tu!
 
Atatulia vipi wakati kuoa ndo Biashara yake inayomuingizia hela kuzidi Biashara zake zote.

Huyo siku watu wakimpuuza ndo ataacha huo ujinga .
Muda mwingine huwa nahisi maybe ni kuruka stage ndo kuna msumbua brother haji,

huenda enzi ana umri wa 34 below chuchuz mayb zilikuwa zinamtolea nje Sasa kaja kuwa more famous na with more liquidity at 40+ hapa ndo anaanza kunyapia vibinti kwa mjibu wa zahylisa kwamba alikuwa anamtomasa binti wa under 18
 
Bora. Kuwa towashi
 
Back
Top Bottom