mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,136
- 1,919
Ningekuwa manara ningeenda polisi kudai Zai anataka kunichuna ngozi.Halafu tuone atapumulia wapi
Kumbukumbu zangu zikiwa sawa basi Kuna kiongozi alisema "haji ukioa Tena usinialike kwenye sherehe yako hii ni ya mwisho "Ni muda muafaka Serikali iingilie kati kumzuia haji manara asioe tena [emoji1787][emoji23]
Manara anatafuta kutrend tu, wale wangeachana wangeachana kimya kimyapole mdogo angu[emoji28], mitandao sio ya kuiamini, unachoona kiache kama ulivokikuta kisikutoe nyongo bure kumbe ni maigizo wenzio wako location.
Sio kiburi cha huyo dada,ila kuishi na Manara napo panahitaji moyo sana..yule jamaa ni mchafu wa tabia na mwili..jitu zima ka lile mpaka leo eti bado linakula mirungi na kuvuta bangi kweli?Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Wenyeviti wa vitongoji.Hao watu Ni wakina nani huko dar?
Vipi umefurahi we Yatima wa Mapenzi? Mbona mzabzab anataka akutoe kwenye uyatima wa mapenzi?Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Hahahaaa kwa hiyo mlikuwa mnamuonea huruma Manara?Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Wewe jua kua umeambiwa no reform no erection..mnataka awatumie na picha? [emoji1787]Unajua maana ya erection
Nasomaga humu anaitwa Bro Evelyn [emoji1787]Ms3mo wa Evelyn Salt
Sio kiburi ni Malaya alikuwa anatafuta pakutokeaZaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Namtupia lawama Zaylisa na mumewe Manara.. wana nia ovu ya kuizima hii kiki ya CHADEMA. Zaylisa na Manara ni adui wa mabadiliko. Dhambi ya kuwazima CHADEMA na kiki yao itawatafuna.
Manara ndio amshukuru Zai,asume hela zisingekuwwpo duniani haji angeteseka sanaTwende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Inaruhusu kuoa na kuacha na kuoa tenaDini inahusikaje hapo?