Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Tabia ya haji Manara ya kuchukua mabinti kuwaoa na kisha kuwaacha ni kama vile inamea mzizi, huyu zaiylissa ni mke sijui wa ngapi kuachwa, alafu shida yake ni ile Ile kabla ya kuachana lazima manara apewe kashfa ya Tamaa ya ngono au kushindwa kupiga mechi. Au ni Dini yake ndio inaruhusu kuchezea wanawake


View: https://youtu.be/NqtxCEDWgC8

Unamuonea wivu manara au hao wake zake?
Mwanaume kujadili maisha binafsi ya mwenzako ni shida kubwa ktk uanaume wako.
 
Sio kiburi cha huyo dada,ila kuishi na Manara napo panahitaji moyo sana..yule jamaa ni mchafu wa tabia na mwili..jitu zima ka lile mpaka leo eti bado linakula mirungi na kuvuta bangi kweli?
Alipaswa kuyajua hayo kabla hajaingia mapenzi sio nguo kununua dukani
 
Tabia ya haji Manara ya kuchukua mabinti kuwaoa na kisha kuwaacha ni kama vile inamea mzizi, huyu zaiylissa ni mke sijui wa ngapi kuachwa, alafu shida yake ni ile Ile kabla ya kuachana lazima manara apewe kashfa ya Tamaa ya ngono au kushindwa kupiga mechi. Au ni Dini yake ndio inaruhusu kuchezea wanawake


View: https://youtu.be/NqtxCEDWgC8

Kijana kuwa na adabu na dini za watu, aliyekwambia manara anawakikisha dini kwenye umalaya wake Nani?
 
Back
Top Bottom