😂😂😂😂😂😂Kumbuka aliwahi kuwa na wake wawili na wote aliwapa taraka siku moja na wao wakaandaa sherehe kubwa kujipongeza image hadi wake wenza wanaungana 😀😀😀😀😀
Ndioushawahi kumchangia?
Anasema eti manara hadindi🥹Daah yaani Zai ni wa kumwita Manara kiongozi?
Ukamatwe haraka, hahahAisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Ilikuwa suala la muda na predictable, nawashangaa waliokua wanachukilia serious muunganiko huoLeo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237
Naskia ni mchongo wa UTO kufifisha furaha za SIMBA kwenda nusu.Ni kweli? Zay kapigwa chini?
Shadeeya nasikia msemaji wenu hadindi. Kuna kila sababu ya kuandamana kupinga hiliAnasema eti manara hadindi🥹
Mimi huu mtengano wao ndio sijauchukulia seriousIlikuwa suala la muda na predictable, nawashangaa waliokua wanachukilia serious muunganiko huo
Sio watanzania wote. Wafuasi wa LissuKwamba watanzania tuna vichwa vibovu kiasi cha kushindwa kufuatilia vitu viwili au vitatu kwa wakati mmoja?
Naunga mkono hojaIfikie hatua Manara aoe mke wa kawaida tu majigambo afanye mwenyewe tu peke yake
Mswahili aliyepitiliza huyo binti, na ile kuonekana anajiona jloZaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Hawataki kuoa wanawake wa kawaidaHuyu baba nadhani ana kosoro kubwa kuliko tunavyo dhani🤨
Tatizo manara hataki kujikubali kama ana changamoto aliyozaliwa nayo hivyo atafute mtu wa kuendana nae, hakuna mwanamke anaweza vumilia kuwa na manara sanasana watafuata mafanikio aliyonayo wakishavuna kikawatosha wanatafuta mlango wa kutokea kama hivi,...na asipojitambua ataowa sana lakini hakuna atakaedumu.Miaka 50 sio umri wa kugombana kisa mwanamke Sasa zahylisa kazaliwa 1999 haji 1975 gap la miaka 24,
Kimsingi brother haji atulie angetafuta Ata kabinti, kakijijini atulie nako kama shida ni upwiru
Hii ndio siku wambea tulikuwa tunaingojea kwa hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237