Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Manara siyo mtu wa dini hana athari ya dini isipokua anatumia dini pale anapotaka kujifanya ni mtu mwema tu, angekua ni mtu wa dini tungeanza kuona athari ya dini hata kwenye familia yake
Tusingeona wake zake wakivaa nusu uchi kwakua dini inakataza, tusingeona anapiga picha kavunja kishoka kwenye swimming pool huku anavuta sigara, tusingeona anaishi na wanawake kabla ya ndoa na baadae ndiyo anawaoa, tusingeona anatoa maneno machafu kwa kila anaepishana nae mtizamo, au kutoa maneno machafu kwa kila mwanamke anaeachana nae.
Tabia za manara na matukio ya kuacha acha hovyo wanawake ni matukio ya kihuni ambayo ndiyo hulka yake tunayoiona kila siku.