Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Hapo Manara tayari ana mke wa kuoa. Huu mwaka hauishi atafanya harusi kubwa tena!!! Kwa raha zake.
pole mdogo angu[emoji28], mitandao sio ya kuiamini, unachoona kiache kama ulivokikuta kisikutoe nyongo bure kumbe ni maigizo wenzio wako location.Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Ndio mkuu😂😂😂😂Erection? 😳😳😳😳
"No matter how dark the room is, an erect manhood will find its way"No Reform No Erection
Hajakosea, wewe tu ndio umekariri.Erection? 😳😳😳😳
Wametumwa na ccm kuzima kukamatwa kwa lissuLeo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237
nilikua natafuta hii comment, demu ukiona kaanza kukuita 'kiongozi' au 'mkuu' ujue ni Point of no returnDaah yaani Zai ni wa kumwita Manara kiongozi?
Kwa hiyo hao wanawake wooote anao oa na kuachika ni sababu wana viburi?😂Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Wachezaji wa AL MASRY.Hao watu Ni wakina nani huko dar?
Kwa hiyo hao wanawake wooote anao oa na kuachika ni sababu wana viburi?😂
Eeh eeh hii hapana kama niivo REFORM itokee tu sisi bila kunyandua tupo tayari kuhamia BurundiNo Reform No Erection
Anaachwa anaanza kusimanga mwanamkeAna shida yule bwana...halafu yeye ndio wa kwanza kujifanya victim.
Eminem tena😃😃😃Eminem atakuja aseme ananyanyapaliwa kisa rangi ya ngozi yake
Leo walikua benchi?Wachezaji wa AL MASRY.
Kwakweli NO ERECTION 😂No Reform No Erection