Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,635
- 4,704
Nilichojifunza ni kuwa Haji ni mnyanyasaji, ana kibri na dhereu kwa hao anao waoa. Anaamini sana kwenye material things na sio hizo ndoa, hawapendi anataka wamsujudie kwakuwa anawatoa kwenye umasikini na kuwapa umaarufu.
Hana busara kwani kwa umri wake alitakiwa kumaliza haya matatizo yake kimya kimya kistaarabu.
Hana busara kwani kwa umri wake alitakiwa kumaliza haya matatizo yake kimya kimya kistaarabu.