Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
AMshukuru nini?Twende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
AMshukuru nini?Twende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Umeniuwa mbavu beshte... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wachezaji wa AL MASRY.
Sema Binti yetu naye kamdomo anachoMsaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?
Yani linamshika chuchu mtoto li Manara ni hatari
Wewe unajua kuangalia...pale hakuna mapenzi hata kama hii mitandaoni ni kiki hapo hakuna mapenziWakati wa Ramadhani nilihudhuria mahali (high profile)nikawaona nikajua hapa hawatasurvive maana zai alikuwa anafanya Kila kitu kwa fujofujo anyway wenyewe wanajua nani kakosea maana wote waliharibu walikokuwa
🤣🤣🤣🤣si ameyataka..Umeniuwa mbavu beshte... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
😂😂😂😂😂Msaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime,wakipatana chujua kapu ukavuneLeo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237
Sema yule mwanamke mkaksi sanaWewe unajua kuangalia...pale hakuna mapenzi hata kama hii mitandaoni ni kiki hapo hakuna mapenzi
Hela ya Yanga imekata, shankupe hilo unaliwekaje mjiniLeo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237
Ahahah nimekumiss pia dear..hahahhaah umenichekesha 🤣 eti upo uzazi...daaah kwa sasa kuzaa tena bado sana beshte...kwaresma hii nilistaafu kidogo naingia kwa mara chacheee🤣🤣🤣🤣si ameyataka..
Nimekumiss jamani Beshte....Uko uzazi kwani Mae?
Hana shukranTwende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
We si marioo waketafuta mtu acha kujifariji u single sio mzuri, ukiwa single rahisi kuwa mchawi, jambazi ama gaidi!.
hizo changamoto za kwenye mapenzi huwa zipo tu!
Mh! imetokea lini hio..?🙄We si marioo wake
Alikufungulia uzi mzee usijifanye kujisahaulishaMh! imetokea lini hio..?🙄
Sasa ule uzi unahusika vipi na umarioo..?Alikufungulia uzi mzee usijifanye kujisahaulisha
Huyo Miss Natafuta si limama la 40+ huko wakati wewe ni kinda huoni hapo we ni marioo unae date mshangazi au unajitoa ufahamu tu?Sasa ule uzi unahusika vipi na umarioo..?