KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Miss Natafuta kuna mtu huku anakutafuta..Hapana basi tu inaonyesha hana mvuto mi simtaki
mheshimiwa ahsante kwa interview yako mimi wacha nikapumzike..😂
Miss Natafuta kuna mtu huku anakutafuta..Hapana basi tu inaonyesha hana mvuto mi simtaki
Waachie mambo yao wenyewe,je una bikra wewe kama huna badi uliachika pia?Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
HujaulizwaGENTAMYCINE niliposema hapa JamiiForums zaidi ya mara mbili (Threads zangu zitafuteni) kuwa Ndoa ya Haji Manara na Zaylisa haitodumu hata Mwaka mmoja kwa tabia zake Chafu Haji Manara ambazo Watoto wa Mjini wenzake na hasa Washikaji zake wa Ilala Bungoni na kwao Buguruni Malapa (japo sasa anaishi Ushuani) tunazijua ndani nje si mliniona Mzushi na Kipa Katoka?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.....Kudadadeki. Na narudia tena kuna nijengeeni MNARA wangu Tukuka upesi Ok?
Anasemaje maana Yuko kwenye ignore list yanguMiss Natafuta kuna mtu huku anakutafuta..
mheshimiwa ahsante kwa interview yako mimi wacha nikapumzike..😂
Ukiona hivyo jua tayari washaanza kumkaza pembeni ndo dharau zinapoanzia. Wanawake ni viumbe wasio na shukrani kabisa na ni wabinafsi kupitilizaZaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
ohoo! Anasema wewe ni mshangazi wangu..Anasemaje maana Yuko kwenye ignore list yangu
Ahaaa kumbe .wewe si ulinikataa?ohoo! Anasema wewe ni mshangazi wangu..
kwamba kwanini kila mara unasema upo single nawakati mimi nipo..😂
Mh! mimi tena! kwani ule uzi si ulikuwa wakupenda nyuzi zangu tu ila si kwamba wa ku engage ama vipi...🙄Ahaaa kumbe .wewe si ulinikataa?
Huo ndio ukweli mwanamke akianza kupigwa nje jua huna chako hapo andaa exit plan ya haraka siku anaondoka vunga kama umeumia hivi Kisha akipotelea andaa mchemsho mzuuuuri wa samaki weka karoti hoho curry powder pilipili flani tafuta chapati nzuri kula taratibu huku ukingoja mechi ya Azam na Yanga baadaeUkiona hivyo jua tayari washaanza kumkaza pembeni ndo dharau zinapoanzia. Wanawake ni viumbe wasio na shukrani kabisa na ni wabinafsi kupitiliza
Ma mdogo una NIDA kweli wewe?😂😂😂😂😂
Manara mwenyewe kamdomo anako sana tuSema Binti yetu naye kamdomo anacho
Wee kumbe😅😅Birthday certificate Tu hakuwa nayo
Akhaa mimi navaa vipedo afu sina NIDA badoShida iko hapo, je wenye mbele na nyuma wanamtaka?
Mfano wewe Heaven Sent unaweza kumtaka bwana Haji?
Chukua mama hilo unafeli wapi mzee 🤣Mh! mimi tena! kwani ule uzi si ulikuwa wakupenda nyuzi zangu tu ila si kwamba wa ku engage ama vipi...🙄
Akhaa mimi navaa vipedo afu sina NIDA bado
Hapana aisee; nitalia sana mtu akinisimangia NIDA na vipedo vyangu. Acha tu mtoto wangu aendelee kusoma KanumbaWewe inaonekana una mbele na nyuma, si una mtoto pia? ndio anaowataka bwana Haji awape maisha, NIDA na passport. Najua pia utapenda kwenda Dubai na Emirates. 😀
😀😀😀JF hii usikose bando tuu. 😁
Hii peleka kwa Manara inatamsaidia sanaNjoo kwenye ukurasa wangu ujifunze jins ya kujitibu matatizo ya nguvu za kiume ukiwa nyumban kwako kwa zoez maalumu matunda mannee yaan ndiz karot parachich na tikit maji au kwa maji ya uvugu uvugu ukitibu unapona kabisa sababu unazibu mfumo hata kama huna tatizo njoo ujiiamrishe maana unakua unajiimarisha na kua imara zaid 0712505049