KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 458
- 649
AKA Sopeunamjua Takadini.
AKA Sopeunamjua Takadini.
Utafikiri bila yeye, Zay asingepata NIDA😅😅 Nimecheka sana asa yeye ni CEO wa NIDA?
Ila kwa haji hakuna kinachoshindikana, jamaa ni mwehuHakuna kiki ya hivyo ya kuvuana nguo
Twende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Ana mdomo mchafu mbwa yule.AKA Sope
Hao wanatumika tu hakuna lolote kuzima issue ya Tundu Lissu kukamatwa na humohumo upande wa jangwani kupooza ushindi wa Mnyama mkali ili usiongelewe, msihadaike
Kwamba kila mmoko apambane husiano lake hahaa!
MKUU, inawezekanaje Hii?Kumbuka aliwahi kuwa na wake wawili na wote aliwapa taraka siku moja na wao wakaandaa sherehe kubwa kujipongeza image hadi wake wenza wanaungana 😀😀😀😀😀
Apo wananzengo tungemshambulia anadhalilisha shule za serikali, keshaukwepa mtego🤣🤣🤣 shule za kanumba
Mlikua mnafanya Nini wanaume wawili chooni😀Nimekutana na Dulla Makabila akichekea chooni
Manara ni mzaramo orijinoMsaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?
Hao walikuwa wake zake kabla hajajulikana Duniani huyo baba kaanza kutoa taraka mda 😁😁😁MKUU, inawezekanaje Hii?
Dah! Mjini kuna mambo aisee🤔Hao walikuwa wake zake kabla hajajulikana Duniani huyo baba kaanza kutoa taraka mda 😁😁😁
Pia alikuwa akiishi nao wote kwao kwa mzee wake Manara
heetafuta mtu acha kujifariji u single sio mzuri, ukiwa single rahisi kuwa mchawi, jambazi ama gaidi!.
hizo changamoto za kwenye mapenzi huwa zipo tu!
Kwa manara ,hakuna hyo kituTaasisi ya ndoa inazidi kushuka thamani kila kukicha!