Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Hao walikuwa wake zake kabla hajajulikana Duniani huyo baba kaanza kutoa taraka mda 😁😁😁
Pia alikuwa akiishi nao wote kwao kwa mzee wake Manara
Na wanawake wote wanamkimbia. Ajiulize kwa sehemu yake ni wapi anakosea

Ila wanawake; hapa kuna ke mwingine na yeye ameshajiandaa kuolewa na Manara. Mmh awe tu na NIDA yake na passport; masimango yapungue au yapande viwango kidogo
 
Watu wanatafuta pa uhakika wa ugali hata kama anajua baadae ni masimango na akipata ka umaarufu roho nyeupe🤨
 
Taasisi ya ndoa inazidi kushuka thamani kila kukicha!
Inashushwa thamani na watu Gani? Ndoa bado ina thamani sema tu tatzo waoaji ndio mara nyingi wanakurupuka wakati wa kuowa kwa kuacha wanawake wenye utulivu na kuoa Malaya we huwezi kwenda kuoa mwanamke ametembea na wasanii wote maarufu halafu kila siku mnaalikana kwenye shuhuli zenu
Chairman Ile ni kenge!
Kabisaaa
 
Haha kwahiyo mke alikuwa kitambulisho cha kura akapata NiDa au alikuwa na cheti cha kuzaliwa akapata NiDa

Naomba ufafanuzi nahisi sielewi msamiati
 
Sio kamdomoo dada,yule ni mswahili haswaa,pale kakutana na kiboko yake,wa mbagala maana yeye si kariakoo na magomeni!!!
Balaa, na Manara nae kaa sio mwanaume vile mdomo kama chamber ya nnya.
 
Back
Top Bottom