binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
😅😅 Nimecheka sana asa yeye ni CEO wa NIDA?Ma mdogo una NIDA kweli wewe?
😅😅 Nimecheka sana asa yeye ni CEO wa NIDA?Ma mdogo una NIDA kweli wewe?
hicho tu ndo tunajua kitawauma🤣.
Haya mapenzi ya kwenye mitandao bana!
Yananikumbusha mapenzi ya yule ‘receptionist aka mama H’ 🤣.
Halafu, hivi kwa nini wanawake hukimbilia kutoa madai ya wanaume wao kutodindisha pale wanapoanza kugombana?
🤣🤣🤣Aah kumbe shule za Kanumba 😅😅
Kuna Uzi humu tulisema hawafiki popotee....ni Jambo la muda TU. Ni kama AZIZ K na MOBETO ni Jambo la muda TU.Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Wanapiga kwenye mshono.. kuhusu kudinda hiyo tuhuma watoto wa ilala kina GENTAMICIN SULFATE INJECTION waliitoa/ wameitoa Sanaa.🤣.
Haya mapenzi ya kwenye mitandao bana!
Yananikumbusha mapenzi ya yule ‘receptionist aka mama H’ 🤣.
Halafu, hivi kwa nini wanawake hukimbilia kutoa madai ya wanaume wao kutodindisha pale wanapoanza kugombana?
🎵 🎶 Kuna wimbo nasikia kwa Sasa una trend kwa bajaji & bodaboda hapa dar es salaam.....🎶 Ma mapenzi kilio.....
🎶Oya mapenzi hisia tikisa kichwa kidogoo......🎶🎵 🎶 Kuna wimbo nasikia kwa Sasa una trend kwa bajaji & bodaboda hapa dar es salaam.....
Sijui Nini...maneno nayo sikia likiimbwa kwa msisitizo ni
MAPENZI HISIAAAA
MWENYEWE KUUJUA ANAWEZA KUTUAMBIA.
🎶Oya mapenzi hisia tikisa kichwa kidogoo......🎶
🤝Muda mwingine huwa nahisi maybe ni kuruka stage ndo kuna msumbua brother haji,
huenda enzi ana umri wa 34 below chuchuz mayb zilikuwa zinamtolea nje Sasa kaja kuwa more famous na with more liquidity at 40+ hapa ndo anaanza kunyapia vibinti kwa mjibu wa zahylisa kwamba alikuwa anamtomasa binti wa under 18
Slay queen na ndoa wapi na wapi!!Kuna Uzi humu tulisema hawafiki popotee....ni Jambo la muda TU. Ni kama AZIZ K na MOBETO ni Jambo la muda TU.
DUNIA INA MAMBO_ WATU PORI.
Sema wamekutana wote wajuaji paleZaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Slay queen haolewi ndugu yangu mwanamke mlevi haolewi utaishia kuabika na kusuluhisha migogoro wakati wenzako wanajenga mbweniSema wamekutana wote wajuaji pale
Ila yule manara ni mswahili sana kuishi naye inahitaji moyo sanaSlay queen haolewi ndugu yangu mwanamke mlevi haolewi utaishia kuabika na kusuluhisha migogoro wakati wenzako wanajenga mbweni
Ndio maana huwa inashauriwa umjue mtu kwanza kabla hujachukua hatua ya kuolewa au kuoaIla yule manara ni mswahili sana kuishi naye inahitaji moyo sana
Mkubwa,kwahiyo wote walikutana ni kunguru?Kunguru hafugiki
Khokho....Khokho...Khokho...Khokho....Khokho...Khokho.😊Slay queen na ndoa wapi na wapi!!
Ile ni pussy ya mtaa ni kupokezana