Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Erection tena mkuu 😒😒No Reform No Erection
Erection tena mkuu 😒😒No Reform No Erection
Miss Natafuta njoo umuambie huyu kijana kuhusu mimi na wewe maana amekuwa akidhani mimi na date nawewe wakati hata sura sikujui!, hebu mtoe utata..Huyo Miss Natafuta si limama la 40+ huko wakati wewe ni kinda huoni hapo we ni marioo unae date mshangazi au unajitoa ufahamu tu?
Hahaha feel free mi nakuzingua tu 😁Miss Natafuta njoo umuambie huyu kijana kuhusu mimi na wewe maana amekuwa akidhani mimi na date nawewe wakati hata sura sikujui!, hebu mtoe utata..
mali za watu hizo usije kunisakizia wakati wapo wamilikiHahaha feel free mi nakuzingua tu 😁
Mali za watu wapi kama angekua na mtu angekua analia lia yuko single mara anataka kumparamia mtu 🤣 acha zako wewemali za watu hizo usije kunisakizia wakati wapo wamiliki
Si anatangaza biashara?Kuna mtu anapenda mitandao kama mke WA gabo.kila kitu chake anaanika mtandaoni.
Mfano ni mke WA January makamba dada hana hata whatsup group
unataka kusema niniMali za watu wapi kama angekua na mtu angekua analia lia yuko single mara anataka kumparamia mtu 🤣 acha zako wewe
Rule no2, usidate na mwanamke aliyekuzidi kimoZaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Yuko single and searching 🤣🔎unataka kusema nini
nafikiri atakufaaYuko single and searching 🤣🔎
Nipo kataa ndoanafikiri atakufaa
hajasema anataka ndoa!Nipo kataa ndoa
Aah mi simtaki tuhajasema anataka ndoa!
unamuogopa!Aah mi simtaki tu
Hapana sina mzuka nae tu si unajua kuna madem wengine hawashtui basi tuunamuogopa!
akha! kwani unamjua..?Hapana sina mzuka nae tu si unajua kuna madem wengine hawashtui basi tu
Hapana basi tu inaonyesha hana mvuto mi simtakiakha! kwani unamjua..?