Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Yaani umeongea kwa kuhisihisi tu. Pia umemtupia lawama Martha kwa kuvunja ndoa yake. Tupeni Basi sababu za hiyo ndoa kuvunjika
 
Mkuu unaambiwa alichukuliwa kwa nguvu kutoka kwa Lusekelo na Bahati mbaya wakati tukio kama hilo linatokea Walikuwa Wawili tu huko Safari ya Mars ambako hakuna Vituo vya Polisi.
Mmh jamani, yaani uchukuliwe kwa nguvu bila ridhaa na wewe ukubali? Means miaka yote hiyo alikuwa ametekwa?
 
Means miaka yote hiyo alikuwa ametekwa?

Ni ajabu na kweli. Naona Huyo mchungaji aliyemteka na kisha kuwa anambaka miaka kibao ni mwajiriwa Wa Nyumba ya Tai,pale Oysteebay. Ni mtu anayejulikana lakini "asiyejulikana" ndio alishindwa kumchukulia hatua zozote.
 
Ni ajabu na kweli. Naona Huyo mchungaji aliyemteka na kisha kuwa anambaka miaka kibao ni mwajiriwa Wa Nyumba ya Tai,pale Oysteebay. Ni mtu anayejulikana lakini "asiyejulikana" ndio alishindwa kumchukulia hatua zozote.
Sio kweli mnayoongea
 
 
Ughonile kalumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mmembatiza jina la 'malaya' ?
Shida ya waimbaji wa injili wakifanikiwa kidogo wanamsahau Mungu wataimba nyimbo za Injili kibiashara zaidi.

Mungu hadhihakiwi!
Wengi wa wanaoijiita watumishi wa Mungu Waimbaji wa Injili ni full utapeli na comedy kwa sana
Mungu ndivyo aadhibivyo
Wataaibika wengi
Kuna waliogeuza Injili ni comedy Injili ni kutafuta mabibi na mabwana injili kujikwamua kiuchumi injili kuficha maovu yao

Kila mtu atavuna alichopanda!
 
Mkuu Pakawa Mungu atusaidie, yaani shetani ameliteka sana kanisa na wana vifungu vyao pia vya kutetea mambo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa za kilokole nyingi ni unafiki mtupu,siku yakiwafika shingoni,hufunguka na ndio mwisho wa ndoa,ndoa hazitaki maigizo ya kibongo muvi,
Ndoa ni heshima,ni kazi,ukweli mtupu lakini sio lazima uweke wazi kila kitu,hebu fikiria ndoa kama ya mzee Samweli Sita,imedumu miaka 40+!!unafikiri mchezo,!!hakukuwa na maigizo ya kilokole ya kushikana mikono kwenda church,pale kazi imefanyika,na kila mmoja alikuwa anajitambua,na anawajibika,vijana wa siku hizi wanataka haki,ninulie nguo,nipe hela ya saloon,nipikie hivi,nifulie vile,niheshimu hivi,wakati kutimiza wajibu hawawezi na hawataki.Hakuna haki bila wajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…