Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kabisa
Speaking from experience. I like it.Kuna wakati upendo unaisha, kinachobaki ni kuvumiliana tu.
Darling eti umesema!!!!Binafsi nimevutiwa na Christina Shusho, asiachane tu na mumewe coz katika waimbaji wote namsikiliza yeye tu!!!!
Usione wivu darling, ni upendo wa agape kwa huyu muimbaji [emoji39]Darling eti umesema!!!!
Wacha we!!Usione wivu darling, ni upendo wa agape kwa huyu muimbaji [emoji39]
Nipo na lusekelo hapaLusekelo akikubali kumrudia atakua Nyumbu wa mwisho kabisa yaani wakati wa ujana bibie amekula na bwana mchungaji alivyozeeka anamrudia!!!!
Vinyaki ! [emoji50][emoji1][emoji53][emoji50][emoji58][emoji4][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa wanyaki mfumo dume ha-uapply, sisi wenyewe tuna udume ndani yetu. Sasa ukileta hizo mbwembwe lazima ule za uso
Afu hawawaonagi wa kuwabeba migongoni,hadi wakomae na wanyaki jamani? Watuwacheee wanyaki tupumuweee, sisi ni wives materials kwa wanaojua nini tunahitaji, wachague tu wa kuendana nao
Mkuu nataka nioe wiki ijayoNdoa za kilokole nyingi ni unafiki mtupu,siku yakiwafika shingoni,hufunguka na ndio mwisho wa ndoa,ndoa hazitaki maigizo ya kibongo muvi,
Ndoa ni heshima,ni kazi,ukweli mtupu lakini sio lazima uweke wazi kila kitu,hebu fikiria ndoa kama ya mzee Samweli Sita,imedumu miaka 40+!!unafikiri mchezo,!!hakukuwa na maigizo ya kilokole ya kushikana mikono kwenda church,pale kazi imefanyika,na kila mmoja alikuwa anajitambua,na anawajibika,vijana wa siku hizi wanataka haki,ninulie nguo,nipe hela ya saloon,nipikie hivi,nifulie vile,niheshimu hivi,wakati kutimiza wajibu hawawezi na hawataki.Hakuna haki bila wajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usi~generalize!Hawa madem waimbaj wa gospel au dem yyte mlokole usije ukamuoa afu ukategemea kitu out of ur marriage zaid ya gogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kimeo kuliko hata huyo MarthaBinafsi nimevutiwa na Christina Shusho, asiachane tu na mumewe coz katika waimbaji wote namsikiliza yeye tu!!!!
siwezi kukukatalia, sababubhata staili yake yabuimbaji imebadilika sana, lakini pia siwezi kumnyooshea kidole kwani nami sio msafi kivile
usemayo ni kweli, kila mtu na udhaifu wakesiwezi kukukatalia, sababubhata staili yake yabuimbaji imebadilika sana, lakini pia siwezi kumnyooshea kidole kwani nami sio msafi kivile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we jamaa umefika mbali! Kutoka kwenye mapepo mpaka wavuta unga!Na wewe acha majungu kama kweli matha anamtumikia Mungu inakuache aachane na lusekelo????
Wote hao ni mapepo tu hawana tofauti na wavuta unga.
Full stop
Sent using Jamii Forums mobile app