Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Kwa wanyaki mfumo dume ha-uapply, sisi wenyewe tuna udume ndani yetu. Sasa ukileta hizo mbwembwe lazima ule za uso

Afu hawawaonagi wa kuwabeba migongoni,hadi wakomae na wanyaki jamani? Watuwacheee wanyaki tupumuweee, sisi ni wives materials kwa wanaojua nini tunahitaji, wachague tu wa kuendana nao
Vinyaki ! [emoji50][emoji1][emoji53][emoji50][emoji58][emoji4][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa za kilokole nyingi ni unafiki mtupu,siku yakiwafika shingoni,hufunguka na ndio mwisho wa ndoa,ndoa hazitaki maigizo ya kibongo muvi,
Ndoa ni heshima,ni kazi,ukweli mtupu lakini sio lazima uweke wazi kila kitu,hebu fikiria ndoa kama ya mzee Samweli Sita,imedumu miaka 40+!!unafikiri mchezo,!!hakukuwa na maigizo ya kilokole ya kushikana mikono kwenda church,pale kazi imefanyika,na kila mmoja alikuwa anajitambua,na anawajibika,vijana wa siku hizi wanataka haki,ninulie nguo,nipe hela ya saloon,nipikie hivi,nifulie vile,niheshimu hivi,wakati kutimiza wajibu hawawezi na hawataki.Hakuna haki bila wajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nataka nioe wiki ijayo

Naomba ushauri !? [emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya baadhi ya walokole yamejaa unafiki mwingi sana ndio maana sometimes mimi naamini hawa tunawaona machoni petu (malaya,walevi nk ) hawafai lakini unaweza kuta moyoni kwa Mungu bado wana nafasi na usishangae wakauona ufalme wa Mungu.
 
"Kwani ndoa ni lazima?"

Siku hizi ndio naanza kuona mantiki ya swali lako hili bibie Zurie

Nashauri watu waoane kwenye umri fulani hivi wa makamo.. Akili zikiwa zimetulia.. Ujanani hapana..
 
Back
Top Bottom