Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Mimi mwenyewe nimeshangaa eti Shusho? Nilishaacha siku nyingi kusikiliza nyimbo zake hata sielewi anaimba nini siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani niko peke yangu!
Shusho ni albums zake mbili tu za mwanzo nyingine ni full usanii. Roho wa Mungu anisamehee lakini nadhani ndani amebaki ni debe tupu linalo lia!
 
Siyo kuwatisha na inawezekana wa kwako akawa vizuri tu na ukadumu naye, ni sawa na mtu akisema Sumbawanga kuna wachawi haina maana kila mtu wa sumbawanga ni mchawi unaweza kuta wachawi ni asilimia 5 au 10. Ndivyo ilivyo kwa wanawake wa kinyakyusa, hasa mnyakyusa aliyekulia kwenye jamii ya wanyakyusa ukitoa hawa wanyakyusa wa Dar.
Mnyakyusa hanaga inferiority complex, anajitutumua na kujiona bora kuliko kitu chochote. Huo mfumo dume wa wanawake wa mbeya ni ile kujiamini sana na kujiona anaweza, sasa akizidisha mwanaume hatakubali kuwa chini ya mwanamke. Kujiamini na kujisikia kukizidi ndiyo kiburi na dharau zinazaliwa. Sasa ukimkuta mlokole ndiyo hicho kiburi cha uzima kila mtu anamuona hana Roho Mtakatifu.
Jamani mbona mnatutisha tuliooa huko?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] afadhali umenipa moyo, ni kama ulivyosema...our wife is so nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…